Siri ambazo wanaume hawapendi wanawake wazijue: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ambazo wanaume hawapendi wanawake wazijue:

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tetra, Oct 10, 2012.

 1. T

  Tetra JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanaume wengi wanajitahidi sana kuficha mambo mengi yanayoendelea akilini mwao,yafuatayo ni baadhi tu:
  1.Wanaume wanapenda wanapotoka kazini wawakute wake zao wapo nyumbani.Anapokuwa wa kwanza kufika nyumbani hujisikia vibaya.
  2.Wanapenda anapokuwa na mwenzi awe yeye peke yake.Kengele hii inalia sana ktk hisia zake japo haiweki wazi.
  3.Hawapendi kulinganishwa na mwanaume mwenzake hususani anaemzidi kimaisha.
  4.Mara nyingi mwanaume huwa ni kama hajui afanye nini mbele ya mgonjwa,,ukiondoa wale waliofunzwa mf.Madaktari
  5.Humpenda sana mwanamke mtii na mkweli,,ukweli wa hali yoyote.
  CHANGIA NA WEWE
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hizi ni siri? au ni old news?
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  old news
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wanaume wanapenda kushea penzi na wanawake wengine mbali na wenzi wao lakini hawapendi wenzi wao kuwa na wapenzi wa kando.
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wengi wao ni wabinafsi! hawapendi wake zao WACHOP mifuko yao, lakini small hause na kuhonga kwenye ma-bar ndio mpango mzima!
   
 6. k

  kehesa maro Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poit ya 5 nimeipenda hizo zingine ziwezi kuja kuziishi ktk maisha ya ndoa ,maisha ni kukubalina na kuwekana wazi .
   
 7. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
   
Loading...