Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,715
- 6,675
Wataendelea kuua wananchi wasio na hatia, ni lazima tutoe mfano kwa hawa
So sad mkuu, wanaua bila hatia hawa police wetu ndiyo maana tunawachukia
Wataendelea kuua wananchi wasio na hatia, ni lazima tutoe mfano kwa hawa
Mungu akubariki sana kwa ufahamu wako. Yaani unaandika ukiwa na furaha juu ya umwagaji damu wa mwanadamu ambaye (bila kujali ni ndugu wa nani) ni mali ya Mungu?Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Yapi?kwamatukio haya?
Ila mkuu hebu kuwa muungwana ifike kipindi roho ya binadamu mwanzako inapotolewa na mtu anayeaminika kuwa ndio wa usalama anaitoa tena,unajisikiaje?Hv mpaka wamuue baba yako ndio utakubali kuwa vitendo hivyo si tulivyovizoea?Acha upumbavu wa kusifia kila kitu mwehu ww,Eti akiwa mdogo wake Heche ndo iweje!!!!how comes unaweza kuongea upumbavu km huo???Suala sio kumuua mdogo wake Heche Bali kumuua mtanzania ambaye yupo chini ya ulinzi wao ni kitendo cha kulaaniwa iwe kwa mwana CCM,NCCR CHADEMA AU CHAMA KINGINE CHOCHOTE.Hii ni Tanzania na mambo hayo hatujayazoea.Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Mpelekeeni clip da'Mange.Wananchi wa Kata ya Sirari Jimbo la Tarime vijijini amekusanyika katika kituo cha polisi cha Sirari, Baada ya Jeshi la polisi kudaiwa Kumuua Mdogo wa Mbunge wa Tarime vijijini Mghe John Heche akiwa chini ya ulinzi, anaejulikana kwa jina la Suguta Chacha...
Na wewe lete za kumpendelea Bashite na slow slowwewe ni liNi UMELETA HABARI ZISIZO ZA KISIASA????tena unaletaga habari za kupendelea UFIPA TU
ifike sehemu uache umkunduchi wapi pameandikwa polisi ana haki ya kuua ukiwa kwwnye 18 yaoHaya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
nakutadharisha tu haya yanamwishoMpelekeeni clip da'Mange.
Unaongelea amani wakati unafurahia polisi kuua raia???Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Yaani mtu atengeneze kifo cha mdogo wake. Muwe mnajiongeza bwana. MxiiiiuuuHaya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Hao watu waliokusanyika hapo wanasura ngumu hatari daaah USO wa mbuzi.
Police wanachokitaka watakipata time will Tell.
Yaani mi nimesoma mpaka nimestuka jamaa anatumia nini kufikiriaYaani mtu atengeneze kifo cha mdogo wake. Muwe mnajiongeza bwana. Mxiiiiuuu
ni aibu sanaPolisi wanajitafuta matatizo yasiokua na nyuma wala mbele. Kiufupi inaonesha uko polisi wamejazana mazezeta, hauwezi kufanya ujinga kama huo usiokua na manufaa kwenye taifa.