Sir Ken Robinson-Multiple Intelligences | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sir Ken Robinson-Multiple Intelligences

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmushi1, Mar 30, 2011.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  Great Thinkers,
  Kuna hawa ndugu wanakwenda kwa majina ya Sir Ken Robinson, na Salman Khan ambao binafsi nawachukulia kama Great Thinkers.Hizi videos zao wanazungumzia issues za education revolution,pamoja na Multiple intelligence;
  YouTube - Ken Robinson - multiple intelligences

  Pia kuna nyingine ambazo anazungumzia kuhusu how to revolutionize education inayokwenda kwa "Bring on the learning revolution"
  YouTube - Sir Ken Robinson: Bring on the learning revolution!

  Pia wenzetu wanakoelekea kuhusiana na mapinduzi ya kielimu,sijui tutakuwa tunaburuzwa ama viongozi wetu wanafuatilia haya?huyu bwana anaitiwa Salman Khan akipresent model yake,anapata sapoti toka kwa kina Gates etc;
  TED Blog | Let's use video to reinvent education: Salman Khan on TED.com

  Modes ipelekeni popote mnapoona inafaa,ila ni food for thought kwa great thinkers wa JF,pamoja na wadau wa elimu nchini ikiwemo viongozi,pia mnaweza kutembelea www.ted.com Wanadai ni ideas worth spreading!And i thought who else should i share with than wana JF.
  Enjoy.
   
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  "Reform is simply improving the broken model"-Sir Ken Robinson

  "One of the real challenges is to innovate fundamentally in education,Innovation is hard because it means doing something that most people dont find very easy for the most part, it means challenging what we have taken for granted"-Sir Ken Robinson.
  Pia hapo chini anazungumzia kuhusu creativity...
  http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=63NTB7oObtw
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,924
  Trophy Points: 280
  Kwa wale magreat thinkers mliokuwa mmelala,tafadhali muendelee kupata ideas positive badala ya kukalia politiki tu,na wengine muambiwe mna chuki binafsi.Pateni elimu kiana then endeleeni na siasa.

  Ni maoni tu,pia kuna great thinkers tu wengi humo ted.com.kwakweli musiache kutembelea if wewe ni mmojawapo wa wale ambao you must learn something new every day.

  Stay positive.

  NB:Majimshindo na wenzako,njooni mnoe intelligence mjue namna ya kuleta maendeleo zaidi ya domo dhidi ya wanaotaka kuleta maendeleo ya kweli.
   
Loading...