N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,976 Reaction score 10,725 Jan 6, 2018 #201 ISIS said: RIP Click to expand... Post ya mwaka jana mwanzoni
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,583 Jan 6, 2018 #202 Ninaweza said: Post ya mwaka jana mwanzoni Click to expand... Si ame Rest In Peace bado au?
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Jan 6, 2018 #203 evonik said: Sina Maelezo sana ya kutosha, lkn niliwai sikia title ya sir kapewa na Nyerere na yeye Ndio mtz wa kwanza kupewa title hiyo ijapo hakuwa Mwalimu kama wengi wanavodhan kuwa title ya u-sir anapewa mwl pekee Click to expand... Sir ni cheo cha heshima nchini uingereza
evonik said: Sina Maelezo sana ya kutosha, lkn niliwai sikia title ya sir kapewa na Nyerere na yeye Ndio mtz wa kwanza kupewa title hiyo ijapo hakuwa Mwalimu kama wengi wanavodhan kuwa title ya u-sir anapewa mwl pekee Click to expand... Sir ni cheo cha heshima nchini uingereza
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,369 Jan 6, 2018 #204 Ndinani said: Marehemu alifanya mengi sana hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuanzisha CDA hapo Dododma!! R.I.P mzee Kahama. Click to expand... Ndio amesha hama! Mtaendelea kupeana taarifa kuwa 'Kahama' kahama.
Ndinani said: Marehemu alifanya mengi sana hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuanzisha CDA hapo Dododma!! R.I.P mzee Kahama. Click to expand... Ndio amesha hama! Mtaendelea kupeana taarifa kuwa 'Kahama' kahama.
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,491 Reaction score 17,403 Oct 14, 2025 #205 R.I.P C.G Kahama