Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Duh wapenzi wa Man Utd mna jazba sana msimu huu. Utani kidogo BP inapanda "4000/1000" sijui mnaishije maana sio kawaida kwa binadamu kuwa hivi.
Naona unajifariji na kujiandaa na msimu mwingine wa ukame...angalau siye tuna Community Shield so far...
#Specialists of #failures