Hiyo kazi haikua rizki yake....
i wish hisani ya watu wa marekani ije iwafanyie wanaume course ya communication skills maana hali zenu mbaya
wanaume wengi tz communication skills ni ziro
wanaume wa kibongo hao
hapo alishasema kwa wenzie kuna demu ananisumbua na mimi simfagilii
Nimepata akili hapa ipo haja ya kuanzisha hata ngo yangu niwaelimishe watu juu ya mawasiliano lol. .
Smile. . hapo umewagusa sema wenzetu si washambuliaji sana kama si wanawake tukiguswa kitu moja kwa moja namna hiyo! Ila wenzetu mawasiliano hata kweny relationship ni vurugu!
Nyie leo vipi, mbona hivyooo? mhhhhhhhhhh!
wengine wana madeni.
wanaume wa kibongo hao
hapo alishasema kwa wenzie kuna demu ananisumbua na mimi simfagilii
Hiyo kazi haikua rizki yake....
Hiyo kazi haikua rizki yake....
Umepona weye?wanaume wengi tz communication skills ni ziro