Twande
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 543
- 172
Nimepata akili hapa ipo haja ya kuanzisha hata ngo yangu niwaelimishe watu juu ya mawasiliano lol. .
Smile. . hapo umewagusa sema wenzetu si washambuliaji sana kama si wanawake tukiguswa kitu moja kwa moja namna hiyo! Ila wenzetu mawasiliano hata kweny relationship ni vurugu!