Sipewi unyumba

BAKA.....,ukishindwa hivyo sitisha kumuhudumia utsona positive result
 
Binafsi siwezi kukaa na demu bila kukwichikwichi maana ndo stareehehhe yenyewe iliyopo kwenye mahusiano mengine huwa mbwembwe tu!!
So mzee baba acha kuwa mtumwa kwa huyo manzi piga chini angalia upepo kwingine..maana mm mwenyewe nimetoka kumpiga demu chini muda sio mrefu maana ananilitea mapoz eti oooh mm sipendi romance sasa kama hupendi romance tutakuwa na mahusiano ya kama wapenzi au kaka na dada ?
Raha ya mahusiano mkunjane muonyeshane maujuzi na vile visauti ndo kabisaa....

Wale mnaocomment maswala ya ndoa kabla ya kukwichikwichi hayo mambo yamepitwa na wakati isee now tupo karne ya 21 so lazima tujuane kwanza ndo tuanze familia sio unaanza familia halafu partner wako chenga kabisa 6x6 au ndo yale unagegeda huku unaangaliwa kama mmefumaniwa vile.....
 
asilimia kubwa mabikra hawatoi kwa hiari, we endelea kusubiri wakipatikana wajuz wa mambo utakuta bwawa....
 
Piga window chini tafuta window nyingine
 

Kwani hiyo ni mkeo hadi ung'ang'anie upewe???, kwani ile kitu ni mali yako uliyoipanda juu ya mwili wake??--- muoe kwanza ndipo uwe na nguvu ya kisheria kuomba upewe.

Vipi ndugu, mbona ni kitu rahisi, huyo kigoli hapendi ushetani wsko.
 
Niliwahu kutana na hiyo kitu mkuu na mwisho wa siku bint akaja kufunguka huku akilia kuwa yeye ni muathirika daaa iliniuma sana af mtoto mkali sana na akanionyesha hadi dawa zake...alisema ananipenda sana ila hayupo tayari kuniua kwa uzembe wa wazazi wake....
 
Nitumie namba zake mkuu nimuulize ili akupe
 
Duuh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…