SIPENDI WATU hawa

nina wasiwasi na mtoa mada mi simo huyu jamaa siyo mzima!lazima anatatizo
 
Huyu jamaa nadhani ali-click reply kwa bahati mbaya kabla hajamaliza alichotaka kutuambia -Tumsamehe kwa hilo nadhani kuna kitu alitaka kutuambia
 
Japokuwa mada yenyewe ina hang tumejitahidi kuonyesha ushirikiano wa kuchangia hii inaonyesha kweli imeonekana.
Majani ya KUNDE
 
Wanaojifanya sio waaafrika , alafu waafrika , na bado wana maneno kama "poor afrika" "ndivyo tulivyo" (nimesonya hapa...mfuuy!) wat eva! siwapendi watu hawa...

yaani!
 
Hizi pombe za kienyeji zina mambo mengi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…