madaili
Member
- Mar 6, 2014
- 32
- 27
Kuna mwalimu wa shule moja ya msingi(jina kapuni)...
Ni mwanadada mrembo sana, watu wengi walimsifu kwa ulimbwende wake...
Siku moja baada ya kumaliza kufundisha aliuliza kama kuna mtu anaswali...
Watoto waliuliza maswali mengi yanayohusiana na somo hilo, na akayajibu vizuri...
Baada ya kuridhika na somo, alitoka darasani na mtoto mmoja akamfata na kumwambia ana swali ambalo halihusiani na somo kwa hiyo aliona ni vizuri kumuuliza wakiwa peke yao...
Mwalimu akamwambia haina tatizo uliza tuu...
Mtoto akamwambia "Unajua mwalimu wewe ni mlimbwende sana, kila siku nikikuona huwa nakuangalia sikumalizi...
Nataka uwe mpenzi wangu, kwa kuwa kila siku huwa nakuota silali, macho yangu yamejaa majonzi kwa kuwa sikupata nafasi ya kukuambia kinachonisibu moyoni, lakini leo nimepata muda na moyo wangu umejaa furaha, naomba uwe mpenzi wangu"
Mwalimu baada ya kusikia hivyo alijisikia vibaya, lakini kwa kuwa dogo ni mtoto hakutaka kumjibu kwa pupa, akajifikiria kwanza baada ya hapo akamjibu, "Unajua XX(jina kapuni), wewe ni mtoto mzuri, una akili sana na unafanya vizuri darasani, nakushauri uachane na hayo mawazo kwa kuwa shule ni muhimu kuliko mapenzi, bora usome ukimaliza utapata kazi nzuri na mwanamke mzuri kuliko mimi, usinifikirie mimi kwa kuwa mimi sipendi watoto"
Dogo baada ya kujibiwa hivyo na mwalimu wake alijisikia vibaya na akamjibu kwa hasira "Sasa umenisifia halafu unanipiga kibuti, kibuti chenyewe eti kwa sababu haupendi watoto, kwani nani amesema nataka kuzaa na wewe, kama hupendi watoto si tutatumia mipira ya kinga?"