quen Gradie
Member
- Aug 13, 2017
- 16
- 11
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Sina uhakika kama inatoka moyoniSipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Kazi ya mwanamke si kumpenda mwanaume bali kazi yake ni kumtii mwanaume so ww umetambua majukumu yako bahati mbaya wanawake wenzio wanafanya kazi ambayo si yao ya kumpenda mwanaume wakati kazi ya kupenda ktk mahusiano ni kazi ya mwanaume ndio maana siwez shangaa wanawake weng wakiimba nyimbo za Aslay - likizoSipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Inategemeana na wanaume unaokutana nao,pengine unakutana na viduku!..Huwezi kukutana na gentleman kama mimi ukaacha kunipenda,anyway hata ukishindwa kunipenda basi utapenda mipango yangu..be humbleSipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Una umri gani?
Upende usipende ukweli ni kwamba huna option.Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???