...nanyie!
mnawapata wapi hao wanaume wanaotaka kubembelezwa kama watoto?
Acheni kuwadekeza, nyie sio mama zao!
Badilisha title ya thread isomeeke hivi. "sipendi tabia ya mume wangu ya kutokuoga inanikera"
bra Nguli ni lazima ujibu hii kakaNguli mbona umekuwa mkali sana..inaelekea hata wewe huwa huogi.
hii inakaaaje bra Kwayu?Waharishie kichwani wataoga.
Mkuu nafikiri yupo sahihi, anawanaume kadhaa na wote wanamkera kwa kutooga usiku
Laki yy bado yumo tu, hawaachi wala nn
Waharishie kichwani wataoga.
Mi pia nimejiuliza hivyo...
Annina
sasa mkijiwa kijeshi si ndo mambo yale ya kutafuta nyumba ndogo zenye kubembeleza?...hivi wanaume mbona ham'bebeki?....mkojeeeee
Jamani kuna wanaume wengine wanarudi majumbani mwao
wakifika ni chakula wakila ni ndani kitandani ukiwaambia jamani
uogi aaaapana mpaka asbh,uko ndani usiku ni kero ukifikiria kumpa
mgongo wa nne shida ni taabu tupu jamani
kama we ni mwanaume wa jinsia hiyo acha jitahidi uoge mkifika kwenda kullala
hata kama wanawake zenu awapigi kelele mjue wanateseka jamani
okoa maji
oga usiku
J
okoa maji
oga usiku
mzoweshe tu kidogo kidogo............jaribu kufanya kama wewe ndo unahtaji kampani ya kuoga akupeleke..............mwisho atazowea itakuwa hulka yake π