Poor Carmel!!!! Poor Binamu!!!
Hivi unategemea atakutangazia kuwa ana nyumba ndogo. Mama Matesha wangu anaweza kukuapia kuwa mimi mme wake mpenzi niliyeshushwa toka mbinguni kwa ajili yake tu, sijawahi kugonga nje tangu nimuoe. Anaamini hivyo kama ambavyo wewe unavyoamini. Infact ni asilimia kubwa ya wanawake wanaamini hivyo.
Lakini ukweli tunaujua sisi. Mama Matesha wala hata hajui kama nimeshamgongea rafiki yake, nimeshamtafunia mdogo wake, hapo usihesabu kina Eliza na wasaidizi wao.
whew ndio mana siwekagai 100% kwa binadamu mimi hata awe vipi. umeongea ukweli mpaka umenigusa ndio mana huwa nawekaga % yangu mie don't want to be hurt na ukubwa huu.