Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu
akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid
na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae
maana hta hela ya kula Jana sikua
nayo
alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu?
sipendagi utani na kitu hela mm!
waiter zungusha tea