Ety my ex karekodi video wakiwa na new boi frnd wake chumban na kunitumia akjua nitaumia sana
Na mm nikatfta namba ya Baba ake Kisha nikamtumia Baba ake video ile!!!!!???"
Sipendagi ujinga kabisa.:-π-π-π-(
Nipo na shemeji yangu mzungu...ananiletea vtu ambavyo sivielewi...
Shemeji mzungu: Your frnd is not around, can we hang out for sometime?
Mimi: *IT DOESNT HAVE INLAWSHIP, WE EAT*
_Nipo kwenye daladala siti ya nyuma kabisa nimekaa na mrembo mzurii.sasa nikawa namtongoza kwa sauti ya chini sana watu wengine wasiskie,akawa hanijibu kitu,mala gafra akapayuka kwanguvu na kwa sauti ya juu iliyomshtua kila mtu._
*"Nimesema stakii,stakii tena unikome"*
_Nami nikamjibu kwa sauti ya juu vile vile_
*"Kama umejamba nisikwambie bhanaa,kwani ww nani?"*βΉ
*_MIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO_*
Sipendi kelele kabisaa
Ndio maana nipo
Nyumbani nasikiliza
CD empty
*sio mtu wa mchezo mchezo mimi*
Mliozaliwa mwezi wa tisa tunajua walichokuwa wanafanya wazazi wenu kipindi cha Christmas*