Wafanyakazi wanakera kaka, unaweza ukaua. Mfanyakazi wangu mmoja ashamwambia mteja, "kwani stationery iko moja", mwingine aliletewa kitabu kutoa copy akamwambia mteja "kikubwa sana" na mimi niko ndani.Hapo sawa.
Zote hizi hazina maana if you have wrong peopleKama huna management nzuri utaumbuka.
Wekeza kwenye technology(Fingerprint attendance,Systems za accounts na management,CCVT camera,Car track,POS etc,)
Hapo utawaweza.
Tutolee ushetwan wako na roho yako mbaya.Binadamu amezaliwa na evilness yaani tangu yumo tumboni mwa mama yake
Nilikuwa nalaumu sana kwanini wafanyabiashara wakubwa wanakuwa makauzu sana au wana roho fulani hivi. well..hii tabia hujengwa kutokana na dissapointments wanazokutana nazo kutoka kwa watu waliowaajiri, tena sanasana ngozi nyeusi (Washenz sana ngozi nyeus).
Boss huyu kutoka na trend anayopigwa na watu wake. Imani humuisha kabisa na kuwa katili, usimlaumu boss katili ni nyie ndio mmemfanya hvyo..huwezi nielewa unless na wewe umeajiri watu wakufanyie kazi zako.
Ngozi nyeusi unapomweka mahali akili yake yote inakuwa kwenye ni mbinu gani nitumie kumuibia huyu boss. Yaani ni mbinu gani za ki shaitwan zinaweza nifanya nitoke kimaisha hiyo ndio akili ya mswahili na mtu mweusi kwa ujumla.
So ma boss weng tumegundua hilo na imetufanya tumekuwa makatili, yaani huchek na mtoto wa mtu kama kazi ni kazi tu.
Hili linapelekea mpaka tuwe na mawazo ya kutopenda tuliowaajiri wafanikiwe au waendelee kimaisha unless ataendelea kukufanyia kazi.
Kwa hiyo ndugu zangu unapomwajiri mswahili ngozi nyeusi, ishi nae kimachale sana ni wa.shen.zi sana ngozi nyeusi....natamani nitukane ila najua mods watafuta...ila ndo hivyo.
Maisha haya ya duniani ushetani ndo kila kitu ukijifanya mwema sana inakula kwako.
Yote hayo hata ukiweza haisaidii kitu kwa kiongozi nyeusi. Yani tuko duniani kukera tuu.Kama huna management nzuri utaumbuka.
Wekeza kwenye technology(Fingerprint attendance,Systems za accounts na management,CCVT camera,Car track,POS etc,)
Hapo utawaweza.