Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Jamani sipendi mbu lakini net nayo inanikwaza tu.Ile dawa ya kupaka inanipa mafua na nasikia ina effect.Sijui ni mimi tu au kuna wanachama wengine.
bora yako hupendi net,mi sipendi chandarua
Hahahahaha,acha mambo yako mkuu.
umenikumbusha wakati bado niko mdogo,tulienda likizo na ding kwenda kumsalimia bibi,tulimpelekea chandarua,sasa tulipomfungia akaanza kudai kuwa haka kanyumba mi nikilalamo sipumui,akawa analala ndani ya chandarua huku kichwa kiko nje ya chandarua mbu wanajigongea tu,mi sina mbavu