...sipendi maswali haya!

Wnadhani ATM huwa inatoa tu...! Wangejua hela hazichagui.... Na zina majina tofauti atii..
Kanisani....sadaka
Msibani.... Rambirambi
Kwa bus...nauli
Bar... Bill
House rent.... Kodi.. Haya ongezeni nyingine

Ruswa maofisini....Ya chai,kuoa.....Mahali/posa/kishika uchumba,tra....Mapato,bungeni....Posho,mahakamani......Fidia
 
Natamani tungeenda wote mpenzi, nitakuwa bored sana without you by my side....please darling twende hata kama ni single day tu!!!

usijali mpenzi, tutakwenda sote
 
Hahahahahahahahahaha


Hahahah...washamba tu hao Shem, sijui wanadhani kila mtu anaishi Somalia ambako mtu akijamba tu lazima wamwandame, maana mtu hawezi toa mashuzi kama hajala!
 
sipendi mtu kuniuliza hivi mfano
"simu yako nzuri umenunua bei gani"
hv inahusikaje hapa swala la kuulizana bei
 
Kwani simu yako ya sa hv unayoitumia umeinunulia wapi?na shilingi ngapi?



sipendi mtu kuniuliza hivi mfano
"simu yako nzuri umenunua bei gani"
hv inahusikaje hapa swala la kuulizana bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…