Sipendi kuulizwa eti ''kwenu mko wangapi''

Sipendi kuulizwa eti ''kwenu mko wangapi''

Hili swali linaubaya gani sasa? On the contrary it is men who ask this question the most, likely out of fear of being overburdened with expenses. men knows how to take themselves of bankers however poor they could be.
Mkuu inawezekana mtoa mada ni SHE. Who knows?
 
Hayo maswal ya msingi kama kujua namba ya wanafamilia wa mwenza wako,kabla,kipato nk..maana badae unaeza ukaja kujutia pasipokujua hvo taarfa hapo juu.
NB.Sikuhz wanawake na wanaume wamekua mayahaya unaeza ukajikuta unadanganywa hvo hvo..tuwen makin
 
ni muhimu aulize na fahamu hata kama mko ishirini si una mwambia ukweli ili aelewe
 
umekwapua wapi haka ka toto mkuu, unatuoshea nacho.

hahahaaaa!!! mkuu acha nioshe...!

avatar59140_3.gif
 
haaa wew una matatizo yako si bure!! yani unataka kuoa mtu ambae hajui familia yako vizuri.. hee m cjawah ona lasivyo familia yako ina matatizo sana. hata mim ningeuliza
 
hehehe! wenzie tunauliza mpaka vipato vyao kwa mwezi. halafu tukishajua wapo wangap tunauliza kama yy ni first born au lah. kama ni first born tongozo lake lazma lipate muda mrefu wa kufikiriwa haswa kama wapo wengi.

Bado ataulizwa ndugu Zake wana shughuli gani mjini
Wangapi wanasoma
Yeye analipia ada wangapi
Wazazi kama wapo wanajishughulisha na nini
Ana madada wangapi
Wameolewa au wapo wapo tu
 
msiokua na malengo mna sababu nyie, yaani ushatangaza ndoa ni dhambi kukujua kwa ukaribu, kuijua familia yako in detail, ndo nyie nyie mnkioana atakuja kuambiwa huyu dada angu mwingine sikukutambulishaga, mara ooh ukoo wetu mkubwa, visingizio kibao kumbe small house
 
makubwa haya unaetaka ukamparamie mtoto wa watu bila kujua historia yako
hata kama wewe ni bin mswati sema kwani shida ipo wapi hapo
 
Dah.. Mbona hilo dogo, mie niliulizwa maswali kama mia hivi. Machache ni kama haya:-

1. Wewe ni kabila gani?
2. Mko wangapi?
3. Wa kike wangapi?
4. Wa kiume wangapi?
5. Mama yako ni kabila gani na ukoo gani ( Mama yangu ni kabila tofauti na baba)
6. Unaishi wapi?
7. Unaishi na nani?
8. Una umri gani?
9. Una mtoto/watoto?
10. Unapendelea kuishi mikoa ipi?
11. Unapendelea kufanya nini katika maisha yako?
12. ......
13.....
14....

Jamani wino umeisha nitarudi

Nilimjibu maswali yote ila nilipomaliza nilikuwa hoi bin taaban!!!!
 
Mimi sijakuuliza hayo ila nahitaji unipatie majawabu yake.
 
Dah.. Mbona hilo dogo, mie niliulizwa maswali kama mia hivi. Machache ni kama haya:-

1. Wewe ni kabila gani?
2. Mko wangapi?
3. Wa kike wangapi?
4. Wa kiume wangapi?
5. Mama yako ni kabila gani na ukoo gani ( Mama yangu ni kabila tofauti na baba)
6. Unaishi wapi?
7. Unaishi na nani?
8. Una umri gani?
9. Una mtoto/watoto?
10. Unapendelea kuishi mikoa ipi?
11. Unapendelea kufanya nini katika maisha yako?
12. ......
13.....
14....

Jamani wino umeisha nitarudi

Nilimjibu maswali yote ila nilipomaliza nilikuwa hoi bin taaban!!!!
simple, hiyo ni 40% tu ya maswali ambayo huwa nawahoji wanawake ninaokuwa nao kwenye mahusiano ya kingono..
 
Back
Top Bottom