Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Kwani MziziMkavu ulikua bado unaitwa bebi ????? Hongera kupiga hili biti, ila na kule mpango kando nako ukawakataze kama huku
kakitambi kananichekesha!
huyu baby kavalishwa pampas au nepi????
Dah! Haya mambo mengine umri ukishaenda tena sana huwa yanapoteza ladha. Hii picha sijui kwann huwa siipend......