Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

Naona dada wa watu anahisi ni moja ya dalili ya kuelekea kujifunga mkanda. Ameghafirika jitahidi kumshawishi mkuu!
 
vazi la mwanamke la kwanza ni nywele.. sina maana nywele bandia nywele zake asili...naamini na wewe kuna mapungufu unayo anayachukulia jitahidi umchukulie mwenzio
Miss chaga tukutane leo
 
hahaa,ni PM namba zake mkuu
Kuna mawili;
1. Umeanza kumchoka dada wa watu koz umemtumia utakavyo. Nasema hivyo kwa sabab kama hoja ni nywele ulimkuta Nazo.
2. Bado hujajitathimini vizur kipi hasa ni kivutio kwako toka kwa mwanamke, kilichokufanya umtamani siku ya kwanza kikumbuke vizuri afu komaa nacho hicho hicho, eg chura, reception nk. Mapungufu madogo madogo kila mwanamke anayo...utazunguka sana bro na ndo uplay boy unapoanzia....
 
Mambo mengine kuoneana banah,
Sasa km yy anapenda kusuka ndo anyoe eti kwa sababu yko tu? Yy angekwambi uvae pensi hapendi suruali ungekubali?? Au kwa kua anakupenda tu basi ndo umuonee.
 
Wewe ni control freak tu.Kusuka asuke yeye wewe ukereke?Acha kugeuza mwanamke ni commodity.Akisema na yeye hapendi mwanaume anayenyoa nywele bali anayesuka?Utasuka?
Unakunywa kinywaji gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeongea vzr sana.
 
Dunia sasa inaelekea kubaya... Hivi sasa mmeanza kupendea nywele??

Wenzako wanakuambia mwanamke nywele, Kijana angalia sana usije ukaanza kutamani wanaume wenzio.

Sote tusimame kumwombea mleta mada asiingie kwenye ukameruni
Teh, tuko pamoja kwenye maombi.
 
Sasa hujamuoa unaogopa gharama Ukimuona si ndo utamnyoa upara ili zisiote haraka
 
Kama ananywele zake za asili wacha asuke au ziwe ndefu abane kawaida tu na akitaka kunyoa anyoe kwa mapenz yake binafsi pia lugha nzuri kumwambia naamini ataelewa.

Vitu vingne pia muwe mnafanya kwa vitendo huwa tunawaelewa zaidi nunua mafuta mazuri ya nywele natural mpeleke afu unaanza kumwambia daaaa haya mafuta nimeambiwa hivi na vile vp hujapenda ukifanya nywele you will look so cute ever kwanin asielewe hapo kalalia kifua sio kuongeaaa mpka mtu anune Kwanin sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…