Sipendi house girls kufanywa binadamu daraja la chini

Nachukia sana nikiona house girl ananyanyaswa pia hii tabia ya kuwaajiri watoto wa miaka 12 mpaka 17 ili wafanye kazi za ndani ingepigwa vita na wahusika wanaofanya hivi wachukuliwe hatua kali sana ikiwemo faini kubwa summer jela miezi sita au adhabu zote mbili kwa ili kukomesha kabisa tabia hii.
 
Hii mada imenigusa sana. Kiukweli waafrika tufike mahali tubadilike. Sijui tatizo ni nini, lakini mwafrika akishakua na kauwezo kidogo hua anaona watu wengine kama takataka! Ma house girl, shamba boy, walinzi nk ni watu wanaoishi kwa manyanyaso makubwa mno mno na kufanyishwa kazi kama punda BILA MALIPO! Nasema bila malipo kwani wengi wao hata hiyo mishahara hua wanaisikia tu hawajawahi kuiona..!

Nimesema mwafrika akipata kauwezo ni shida kwani hata maofisini huko hali ni hiyo hiyo. Ma secretary, wahudumu, wafanya usafi, madereva ni mwendo wa manyanyaso, kuto heshimiwa, kutukanwa, yaani kama vile sio watu. Na usiombe ukute bosi ni MWANAMKE! Mbaya zaidi haya yanafanywa na watu ambao wanaheshimika katika jamii kwa nafasi au vyeo walivyo navyo. Kwakweli tubadilike duniani hapa tunapita tu na kum treat mtu vizuri hakutu cost chochote..
 
Yaani kazi za ndani zinavyochosha jamani, tuwe tu na busara za kuishi na hawa wasaidizi wetu wa kazi.

Kimbembe hua kinatokea pale msichana wa kazi anapoondoka ghafla, huku una mtoto mdogo, mwingine wa shule, baba mkwe mgonjwa yupo hapo kwenu, unatakiwa uende kazini na huna wa kumuachia nyumba! Hapo ndio wengi hutambua umuhimu wa hawa wasichana. Wiki tu nakuambia utanyooka utatamani aje umlipe hata laki tano.
 
Mtazamo wa kijinga kabisa. Nasema wa kijinga sio wa kipumbavu!!!!!
Kweli MKUU,,,, asubuhi MNAPISHANA TU ,,,,ukifika USIKU NDY MACHO YANAANZA kukutoka,,,,Mara UNAVUNGA KUUMWA,,kesho YAKE HUENDI KAZINI,,,UNALALA NYUMBANI,,, wakati huo MKEO ameenda Kazini NA WATOTO wapo SHULE,,,,na DADA wa kazi anataka APIGE DEKI chumbani na wewe upo ndani umelala,,,mdada wa watu anakuja KUKUGONGEA MLANGO,,unakaitia chumbani,,bila KUJUWA kuwa kule KUUMWA KWAKO NI MKAKAKATI maalum,,,,UMPIGE JEGEJE......akiingia ndani,,unamwita kitandani,,unaanza kuongelea mambo ya KUMPANDISHA MSHAHARA,,na KUMNUNULIA VITU tele tele,, huku UKIKASIFIA KALIVYO KAZURI,,ukivuta mkono,,UNAKAFUNIKIA NA SHUKA,,,unakamaliza,,,NDIVYO MAPENZI YANAVYOANZA,,, baada ya hapo mechi zinahamia USIKU,, tena chumbani kwake HOUSE GIRL... hapo ndy hutolala kabisa,,kila usiku ukizidi kuwa mkubwa na usingizi unaruka, maana unafikiria jinsi ya kumtoka MKEO chumbani na kwenda kwa house girl, ,,na ukipata nafasi ya kutoka chumbani kwako na kuingia kwake,,,hapo ndy kanakuwaga KATAMU SN,,maana DK 2 WAZUNGU WAPO AIRPORT,, na WAHANGA WAKUBWA wa kusalitiwa na HOUSE GIRLS NI WANAWAKE WANAOFANYA KAZI maofisini. ,,,muda mwingi hawapo nyumbani ,,MUME unaweza ukarudi hata MCHANA.,,UKAPIGA JEGEJE HOUSE GIRL ,,,ukarudi KAZINI, ,,,UKWELI MCHUNGU...mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la kwanza ni kumuona msaidizi kama chombo kisicho na thamani, kosa la pili ni kumpa nafasi ya kufanya kazi zisozo muhusu.

Kwani wewe na mke wako hamuwezi kusafisha, kutandika na kufagia chumba chenu, hamuwezi kusafisha choo chenu?

Halafu tunajisifu kabisa kwa upumbavu wetu, nendeni mkatafute wanawake mtaani huko mbona wapo, mnawadhalilisha sana watoto na wake zenu ndani ya nyumba, tena unamtia kitandani kwenu kabisa...WTF!!!
 
Kweli MKUU,,,, asubuhi MNAPISHANA TU ,,,,ukifika USIKU NDY MACHO YANAANZA kukutoka,,,,Mara UNAVUNGA KUUMWA,,kesho YAKE HUENDI KAZINI,,,UNALALA NYUMBANI,,, wakati huo MKEO ameenda Kazini NA WATOTO wapo SHULE,,,,na DADA wa kazi anataka APIGE DEKI chumbani na wewe upo ndani umelala,,,mdada wa watu anakuja KUKUGONGEA MLANGO,,unakaitia chumbani,,bila KUJUWA kuwa kule KUUMWA KWAKO NI MKAKAKATI maalum,,,,UMPIGE JEGEJE......akiingia ndani,,unamwita kitandani,,unaanza kuongelea mambo ya KUMPANDISHA MSHAHARA,,na KUMNUNULIA VITU tele tele,, huku UKIKASIFIA KALIVYO KAZURI,,ukivuta mkono,,UNAKAFUNIKIA NA SHUKA,,,unakamaliza,,,NDIVYO MAPENZI YANAVYOANZA,,, baada ya hapo mechi zinahamia USIKU,, tena chumbani kwake HOUSE GIRL... hapo ndy hutolala kabisa,,kila usiku ukizidi kuwa mkubwa na usingizi unaruka, maana unafikiria jinsi ya kumtoka MKEO chumbani na kwenda kwa house girl, ,,na ukipata nafasi ya kutoka chumbani kwako na kuingia kwake,,,hapo ndy kanakuwaga KATAMU SN,,maana DK 2 WAZUNGU WAPO AIRPORT,, na WAHANGA WAKUBWA wa kusalitiwa na HOUSE GIRLS NI WANAWAKE WANAOFANYA KAZI maofisini. ,,,muda mwingi hawapo nyumbani ,,MUME unaweza ukarudi hata MCHANA.,,UKAPIGA JEGEJE HOUSE GIRL ,,,ukarudi KAZINI, ,,,UKWELI MCHUNGU...mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Daahhh!!!! umenikumbusha mbali sana, hii michezo ina raha zake. Watu wanaweza kuvunga hawaitaki lakini nyuma ya pazia wanakulaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom