Sipendi hakika sipendi ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi hakika sipendi !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jul 11, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  > Unakuta Nyumba ina choo na bafu, lakini unamkuta mtu anaoga chooni ! Ukimuuliza whaay hakupi msingi wa sababu, aakh sipendi.

  > Mgeni aidha mshkaji jamaa anakutembelea mida ya karibia kulala, unamuonesha viashiria vyote vya kua umechoka unahitaji kupumzika , bt mgeni hasomi alama za nyakati, ndiyo kwanza anadai "niwekee ile movie ya kinaigeria"
  sipendi .

  > Unamshauri member mwenzio Jeiefu "eebwana hii thrade ingeihamishia jukwaa flani ingekua muafaka" member anakuambia umemkashifu! Aakh sipendi .

  >Unamdai mshirika/jamaa yako unampigia kumuuliza badala akwambie mambo hayajawa sawa kwenye simu, anakwambia tuonane sehemu, ambavyo wewe unatumia gharama za usafiri kwenda hapo, ukifika anakupa darasa! Unapigwa sound bilabila!
  Aaakh inaudhi!

  > Unakuta Mkeo/Demu/Mpenzi wako , anahamu ya kumwagwa maji lakini kauchubua chubu! Hasemi , ni hadi wewe Me umuombe game ndiyo mka'do ! Aaakh hii nayo sipendi .
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  SIPENDI TENA SIPENDI Judgement, kila siku ye ni kubeep tu, dume zima linabeep tu! hebu uwe unapiga mara moja moja!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na kweli hilo nalo kero!
  Unaisemeaje sipendi yangu ya mwisho!
  Hapo juu hebu ichangie!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  si unajua c tulifundwa miaka hiyooooooo so lazma tuwe na haya mpaka tuanzwe! hebu nenda kwa .com uje unipe majibu hapa, hawanaga kusubiri, kwao huo ni msamiati! kha!
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Sipendi mtu mna-make appointment ya kukutana mahali flan afu yeye anachelewa kufika let say mmepanga mkutane by 1200hrs ye anafika 1300hrs bila sababu ya msingi

  Sipendi mtu unamuuliza umefika wapi anakutajia nimefika kinondoni akitokea let say mwenge kumbe ndo kwanza hata hajatoka home.......

  Sipendi tena sipendi mtu anayefatilia maisha ya mtu, mara nasikia ulifanya hivi na vile mara nasikia uko hivi... yaan unataka ujue mtu anaishije inahusu!!!!!!!!!!

  Sipendi nimwambie mtu nisaidie shida flani bada la kusema mimi siwezi kukusaidia au mambo yangu hayako sawa kwa sasa yeye anakupiga tarehe na kkukuzungusha mwisho wa siku hatimizi ahadi yake!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hehehehehe hiyo ya game nimeipendajeeee mieee

  sipendi unakuta baba zima, kwenye fortuner yake, linatupa ganda la chungwa nje...sipendiiiiii

  sipendi janaume ng'ang'anizi, halielewiiiiiiii yaani sipendi, ningekuwa na maji ya moto ningemmwagia....

  sipendi jitu la misifa, kila kitu anajua yeye, sipendiiiiiii

  sipendi mtu akiwa na shida namba yako anaijua, shida zake zikiisha ukikutana nae anakuuliza "hivi namba yako ngapi tenaaaaaaa???" sipendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  ila napenda
  kupreeeeeeeeeeeeeeeeeeezee
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sipendi tena sipendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mtu kwenye daladala anatema mate hovyo nje...

  sipendi watembea kwa miguu wanapotema mate hovyo barabarani haswa mitaa ya posta na kariakoo ndo kwenye tabia hiyoooo...

  sipendi halmashauri za jiji la dar es salaam wanavyoacha mitaro imezibaaaa

  SIPENDI MCHEZO WA BAADHI YA MAJIRANI USWAZI, MTU AKINUNUA GARI ANAZIBA NJIA SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIII
  {ndo maana babu Asprin kanihamishia masakiii}
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sipendi wageni wa mwisho wa mwezi...

  sipendi mgeni wa lunchi time pekeeeee {hata ukiniita mchoyo} kwa nini usiniambie muda wa lunch utakuwa kwangu ili niandae msosi wa kutosha? halafu mtu gani jumatatu hadi ijumaa kunitembelea lunch tu, hujui maisha magumu?

  sipendi wambea

  sipendi wanafiki

  sipendi wachonganishi....

  sipendi wageni wanaotime muda wa "game" yaani unajiandaa kurenga mwenyewe ndo anagonga thipendiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sipendi mtu akusaidie halafu akatangaze mpaka mtaa wa kumi.............thipendiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mi sipendi mjue....
   
 11. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mi sipendi wanavyokufanyia hivyo
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Sipendi mtu anakwenda msalani aka washrum anakuta kusafi ila akimaliza shiida zake anakuacha kuchafu!!!!!!!!!!!!

  Sipendi mtu unapiga simu nikikuuliza wewe ni nani unaanza kwani hujui nmaba yangu, ndo umedelete eeeh... inahuuuuuuuuu we cha muhimu jitambulishe kisha useme shida yako

  sipendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 13. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sipendangi magamba
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  sipendi mtu unamwambiak uwa umechoka ye kang'ang'ania juu tu. khaaaaaaaa!!!!!!!!
   
 15. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  sipendi nimetoka kujifungua, unaning'ang'ania nikajiuguze kwa mama! khaaaaaaaaaaaa, sipendi na nimeshtuka siendi kokote, from muhimbili back to u home kwetu, babu Asprin hii yako, unataka kunipotezea ili ukahav good tym na wajukuu wengine! kha, WANAUME ACHENI HII TABIA!
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Tabia ya mabinti kunihamishia mlango wa nyuma wakati wa ku do, nashangaa tu marashi yamebadilika SIPENDI
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  sipendi nakwambia niko mahali flani afu huamini, sasa kama huamini basi unajua nilipo!
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sipendi mtu kwenye avatar kaweka picha yake! Badala aangalie mbele kwenye screen yeye anaipa screen mgongo!
  Pia sipendi mtu anakwambia nitafutie nyumba/gari , thn unafanya bidii kumtafutia unavipata unamwambia anazimika mazima! Wewe unaonekana mchekeshaji .
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah sipendi tena sipendiiiiiiiiiiii mtu akupigie simu ukipokea anakwambia mpe mwenye simu nizungumze nae preeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa   
Loading...