Sipati usingizi wiki ya 2 sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,167
Reaction score
30,863
Wajuvi wa mambo habari zenu,

Ni wiki ya 2 sasa kausingizi kamenipotea kabsaa, yaani sipati usingizi mchana, sipati usingizi usiku. Hadi nafikiria na kushawishika kugonga tena konyagi labda kanaweza jitokeza kitu ambacho nimefanikiwa kukiacha.

Najaribu kujichunguza labda kuna jambo linanitatiza kichwani lakini sioni wala sihisi kinachonisumbua, everything is under my full control.

Sijisikii homa wala chochote mwilini.

Nini inaweza kuwa sababu ya hali hii?
 
Kuna sehemu utakua ulijikwaa. Hapa ulipo ndio ulipodondokea/kinachotokea sasa. Unahitaji kufanya review kwa utulivu na kuziba viraka.
 
Kuna sehemu utakua ulijikwaa. Hapa ulipo ndio ulipodondokea/kinachotokea sasa. Unahitaji kufanya review kwa utulivu na kuziba viraka.
shukran jazilan shekhee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ