...kumbe yule mwanaume ana kawaida kukakamaa baada ya kufika kileleni, asimkakamalie dada wa watu nini kifuani bibie akajua keshaua hapo akatoka nduki anatorokea kwao songea kwani nilipokutana nao wenzake ndio wanamsindikiza ubungo ili akwepe soo, mbaya zaidi inavyooelekea wanaishi jirani na huyo bwana mwenyewe sasa sijui kahofia pengine mkewe atagundua kua alikua naye au vipi....:confused2:...:noidea:
Badili hii heading, japo ionekana unaweza ku-sync speed ya kuongea na ku-typeSipati icha
Leo nimepada kwenye daladala nikawa nimekaa siti ya nyuma kabisa ile ya watu watano (5),
bibie akajua keshaua hapo akatoka nduki anatorokea kwao songea kwani nilipokutana nao wenzake ndio wanamsindikiza ubungo
Badili hii heading, japo ionekana unaweza ku-sync speed ya kuongea na ku-type
Hii Daladala yenye siti ya watu watano ni Tegeta - Mbagala?
Present-Continous-Tense (Umbea sio mzuri)!
sasa apo umbea umekujaje dick?Aliyeua aweza jitangaza kwenye daladala? Huu ni umbea, tena wa kutunga!
Acha umbeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!