Sipati picha siku ya hukumu itakuaje

My nigga kutakua na flat ya inchi ngapi? Hdmi au flash disk ndiyo ina data zote
 
Kama unaamini Mungu yupo utakibaliana nae au kama wewe no msimaji was maandiko matakatifu ya Bible
 
Hebu fikiria siku ambayo halaiki ya watu imekodoa macho kuangalia matendo yako yote yaliyo ya wazi na yale ya siri.

Hebu piga picha yule rafiki yako uliyemchukulia mke wake anakuona unazini na mke wake.

Hebu piga picha mzazi mwenzako anakuona vile unamtoa kafara mtoto wenu kisa utajirike.

Hebu piga picha tunakuona ukiwa unaroga majirani zako na wakati kanisani au msikitini hukosi.

Hebu piga picha tunaona ukiwapanga majambazi wakavamie kwa mjomba, binamu au baba yako.

Hebu piga picha wewe mchungaji au shehe unaonekana ukizini gesti na mhumini wako.

Hebu piga picha wewe unayetoa kafara raia wasio na hatia ili ushinde uchaguzi wa jimbo lako.

Hebu piga picha ulivyomuaga mmeo kuwa unaenda sokoni au kwa rafiki yako kumbe unaenda gheto la mchepuko wako.

Hebu piga picha siku hiyo kale katabia kako ka kudanganya wana JF. kanaonekana wazi.

Hebu piga picha siku ambayo yule Adam na Hawa uliyemsikia na kumsoma unamuona kwa macho.

Hebu piga picha pale unapogundua kwa mara ya kwanza watoto ulionao sio wako.

Hebu piga picha wafanya kazi wenzako kwa mara ya kwanza wanajua kua ulipata cheo chako baada ya kutanua mabaja.

Hebu piga picha siku ambayo kwa mara ya kwanza JF members tunajua jina lako halisi.

Mimi nimejaribu kupiga picha na kisimu changu sipati picha kamili.

Unaambiwa kila jambo unalolitenda litaletwa hadharani haijalishi la wazi au la siri.

Unaambiwa mimea, mawe , mchanga, vitanda oxgen na kila kitu kinachoonekana na kisichoonekana huwa vinarekodi matukio ya wanadamu.

ASANTENI

Kama we we no msomaji was biblia utakubaliana nae
 
Picha ipi mkuu unayomaanisha...kwamba itakua kama sinema fulani?

Anyway...
Soma na haya..

Ufunuo 20:11-15.

Daniel 7:9-10..
sawa...lakini endelea kufanya utafiti zaidi jinsi hukumu itavyokuwa chunguza maandiko kama Yohana 3:18, 19 na waroma 6:7
 
Hebu fikiria siku ambayo halaiki ya watu imekodoa macho kuangalia matendo yako yote yaliyo ya wazi na yale ya siri.

Hebu piga picha yule rafiki yako uliyemchukulia mke wake anakuona unazini na mke wake.

Hebu piga picha mzazi mwenzako anakuona vile unamtoa kafara mtoto wenu kisa utajirike.

Hebu piga picha tunakuona ukiwa unaroga majirani zako na wakati kanisani au msikitini hukosi.

Hebu piga picha tunaona ukiwapanga majambazi wakavamie kwa mjomba, binamu au baba yako.

Hebu piga picha wewe mchungaji au shehe unaonekana ukizini gesti na mhumini wako.

Hebu piga picha wewe unayetoa kafara raia wasio na hatia ili ushinde uchaguzi wa jimbo lako.

Hebu piga picha ulivyomuaga mmeo kuwa unaenda sokoni au kwa rafiki yako kumbe unaenda gheto la mchepuko wako.

Hebu piga picha siku hiyo kale katabia kako ka kudanganya wana JF. kanaonekana wazi.

Hebu piga picha siku ambayo yule Adam na Hawa uliyemsikia na kumsoma unamuona kwa macho.

Hebu piga picha pale unapogundua kwa mara ya kwanza watoto ulionao sio wako.

Hebu piga picha wafanya kazi wenzako kwa mara ya kwanza wanajua kua ulipata cheo chako baada ya kutanua mabaja.

Hebu piga picha siku ambayo kwa mara ya kwanza JF members tunajua jina lako halisi.

Mimi nimejaribu kupiga picha na kisimu changu sipati picha kamili.

Unaambiwa kila jambo unalolitenda litaletwa hadharani haijalishi la wazi au la siri.

Unaambiwa mimea, mawe , mchanga, vitanda oxgen na kila kitu kinachoonekana na kisichoonekana huwa vinarekodi matukio ya wanadamu.

ASANTENI
Tutalia na kusaga meno..
Unaona mkeo alivyokua analiwa ndogo
 
Navuta picha jiwe na bashite watakavyozimia mara kadhaa wakisoma madhambi yao
 
Hukumu haitakuwa km binadamu tunavyodhani,sisi tunadhani hivyo kulingana na upofu na fikra za kibinadamu,
Siku ya kiama nnachoamini mm tutaona miujiza mikubwa sana,maana Mungu achunguzavyo MTU ni tofauti na ss,kuna watu sababu ya matendo ya nje huwa tunawahukumu lkn dhamiri zao na nia zao za ndani ni bonge la wasafi,wengine kwa nje tunawaona wasaaaafi kumbe dhamiri zao ni balaa,
 
Hawa watahukumiwa kwa ujumla wao!
_20181008_094042.JPG
 
Back
Top Bottom