Sipati Picha Siku Wana JF Tutakapokutana Peponi!!!!

Naona wachina wamekuja juu katika kila kitu.... Pitia bana, kuna list ya watu expecting to be there... If you can make it, it will be good for you.

nimeiona hiyo thread, nadhani sitaweza ijumaa mida ya saa 1 jioni nitakua natoa report mahali fulani, anyway siku yoyote tunaweza onana,
 
nimeiona hiyo thread, nadhani sitaweza ijumaa mida ya saa 1 jioni nitakua natoa report mahali fulani, anyway siku yoyote tunaweza onana,

Haina shida Manyanza.... God willing siku nyingine. Do take care...
 
inanishangaza sana,hizo habari ulizo andika hapa ni za kwenda kuzika,sijui kwanini umeandika hivyo,umesoma mpaka darasa la ngapi? unamiaka mingapi?
 
inanishangaza sana,hizo habari ulizo andika hapa ni za kwenda kuzika,sijui kwanini umeandika hivyo,umesoma mpaka darasa la ngapi? unamiaka mingapi?

Mkuu na ukubwa wote huo unaogopa kufa.
POPOOOOO!
 
Najua sehemu pekee ambayo hakuna ufisadi wala woga ni peponi/Mbinguni, natamani sana kuiona siku hii ambayo hakuna mwana JF atakaeogopa kujianika yeye ni nani na alikuwa nani jamvini....................itakuwa ni FURAHA YA AJABU...........HOI HOI NA VIFIJO VITASIKIKA.........KUONANA NA WAPENDWA KWA SURA NA MAJINA YAO HALISI eg MALARIA SUGU, MWALI, BAK, KINGASTI, NDAHANI, INVISIBLE, ST IVUGA, MBU, AMAVUBI, REGIA MTEMA, Pasco,Raia Mbishi, Kadamfu, Mtulumbi, Honolulu, Mbngifingi, kadamfu, todo, Gezaulole, nderingosha, candid scope, ALL MODERATORS (NA WENGINEO WENGI-Usikonde kama sijakutaja)...........ITAKUWA NI KUSHANGAAAANA TU!!!!

Mwana JF jitahidi uingie kwenye pepo.................tukashangaane..............

Je wewe utashangaa utakapomgundua NANI?????...........na kwa nini????

mimi ni bingwa sana ktk kale ka mchezo kakujificha almaarufu kombolela.hivyo basi nikifika huko nitajitahidi kukatumia ili jf members wasitambue kuwa mimi ndo yule kadoda11 wa duniani:lol:.
 
Hebu tufikirie Future ya JF kwa mtazamo chanya zaidi. Tunataka kufika wapi zaidi ya hapa tulipo. Wakati tukitafakari hilo najiuliza swali kwa wale tusiofahamiana inakuaje pale unapo chat mwanamme na mwanamke msiejuana lakini kumbe ndio mwenza wakeo wa nyumbani !!!!!!!!!!!!!!!
 
i see ni hatari sana labda kama mnachat mambo ya siasa ,elimu ,biashara, mpira na maendeleo kwa ujumla

Lakini kama ndo mambo ya infidelity kweli mungu atateketeza hiki kizazi:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom