Sipati picha hiki kipimo kifike bongo

Sipati picha hiki kipimo kifike bongo

45aea858c3e2d78b0509b58764c358c9.jpg
Hizi habari peleka koromije ndio wataamini.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Impossible maana jina haliko kwenye damu....
Jina hata kesho naweza likana.....
 
Akina mama ndio wanaojua mimba na mtoto baba ake... Huyu au yule au mimba ya Abbasfarudume au ya Daby, wacha kije kama ni kweli tusha chakachuliwa sana, kama huku kwetu Ukonga nina jirani yangu ana watoto wawili yeye baba mweusi tiii watoto weupe wana nywele za kishombe shombe hata sura afanani nao na mkewe mweusi fiiii..!
 
Mkuu umenitisha nikajua mama klaree ameshafanya yake na wewe.
 
Hebu fafanua! Watakichakachua kwakuwa wao wengi wanalea watoto wasio wao au?
Rombo si ulisikia wakiomba msaada madume yamedumazwa na viroba na gongo. Obvious watakuwa wanalea watoto wa wasaidizi.
 
Akina mama ndio wanaojua mimba na mtoto baba ake... Huyu au yule au mimba ya Abbasfarudume au ya Daby, wacha kije kama ni kweli tusha chakachuliwa sana, kama huku kwetu Ukonga nina jirani yangu ana watoto wawili yeye baba mweusi tiii watoto weupe wana nywele za kishombe shombe hata sura afanani nao na mkewe mweusi fiiii..!
Wamerithi kwa bibi hao hilo lisikuogopeshe sana.
 
JJ ndio ile timu yetu nini maana unawasiwasi na hicho kipimo. Kije na kile ukichepuka kinataja kabisa na raundi ulizoenda
hakuna kitu kama hicho. Mm sijasema niko timu gani bali nimesema NO kuja huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom