Sipati picha hiki kipimo kifike bongo

Sipati picha hiki kipimo kifike bongo

Hahaha!!! Hii itakua ngumu huku kwetu!!! Wazungu kila anaezaliwa details zake zinakua kwenye data base ya nchi... Hapa wengi wetu ata cheti cha kuzaliwa hatuna.
 
Huo ni uongo uliopindukia..haiwezekani kuwa hivo kamwe
Mkuu, inawezekana kama specimen za mfumo (biometric system) wa utambuzi unajumuisha DNA za wananchi. Kwa maana kwamba kila mtu DNA yake imeingizwa kwenye kanzidata.
 
Itabidi ipite kura ya kutokuwa imani na wewe halafu iwe ya siri walai
kura itakuwa ya wangapi? walah sidhan kama best atakubali maana duuuh acha ninyamaze siri za ndani hizi zinataka kunitoka
 
kura itakuwa ya wangapi? walah sidhan kama best atakubali maana duuuh acha ninyamaze siri za ndani hizi zinataka kunitoka
Hahaha.... Ninja itabidi akubaliane na mimi maana sio kwa kukataa teknolojia ya kisasa namna hiyo shem.
 
Hahaha.... Ninja itabidi akubaliane na mimi maana sio kwa kukataa teknolojia ya kisasa namna hiyo shem.
hawezi nakwambia, mimi najua hawezi kukusikia kabisa.

I know it and i have confidence on what am telling you shem.

I told you b4 that you can't me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom