tutachakachua tu hakuna namna, they can't us et wajue hilohahaha watatufanya tuweke speed gavana
Haya shem ngoja nikuache..hawezi nakwambia, mimi najua hawezi kukusikia kabisa.
I know it and i have confidence on what am telling you shem.
I told you b4 that you can't me.
Kwahyo unamaanisha nanii ni mchaga? na ushampiga za uso??hahahahahhaahah wasikilete bhana Tanzania wachaga watakichakachua
haiwezekani bhanaaa tusipotezeane muda hapaKwanini isiwezekane Mkuu? DNA, Finger Print, na Dusheprint.
akhu huyu shem naona ananishinda tabia sasa, et anataka kupiga kura za siri cjui za kunitoa kwa ndugu yake? unajua simwelewi vzr.bamdogo nimekuachia uhangaike nae
mimi hapa OGKwahyo unamaanisha nanii ni mchaga? na ushampiga za uso??
Nitakuwepoujue tutaandamana kikifika
hahahahahahah nimeipenda hiyoooo, na mtabaki kuitwa hivyo hakuna namnaHaya shem ngoja nikuache..
Ila mambo ya kukataa teknolojia uache maana tumechoka sasa kuitwa baba Elly kumbe baba Elly halisi yupo kwa mtogole Dar
tena unishtue nisije pitwa kutoa point za kukipinga duuuhhahahhh
hahahahahahah nimeipenda hiyoooo, na mtabaki kuitwa hivyo hakuna namna





Mamdogo
Watchme nimeuliza tu nijue bamdogo ana nia gani mpk atake kupiga kura ya kutokuwa na imani na ww