Sipati picha hiki kipimo kifike bongo

Uongo mtupu. Jina si sehemu ya vinasaba vya mwili, ni kuzoeshwa tuu jina linakukaa. Kama kinafanya kazi kwa mtindo wa ramli sawa, Ila elimu Haina mwisho, mliosoma sana au wenye uelewa wa mambo haya tufafanukieni.
 
Hicho kipimo kitavunja sana ndoa za watu.....marufuku kukileta Tanzania..............................
 
So kwel huwez pata jina la baba wa mimba kupitia mkojo. It is a fooling information.
 
Mamdogo
If you think you have freedom not to zet eksitent

Watch
bamdogo eb nijibu kwanza ujue napata wasi wasi najua mwisho unaweza niambia utanipa radhi
 
Udaku ambao uongo wake duh.

Hicho kinapima kama mtu ana mimba na kutoa namba za wiki ya mimba.
 
Hawajagundua tu chakupimia waliochepuka pindi wakirudi home kitumike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…