5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?
Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.
Theoretically:
3.5G ina speed ya 14.4MB/s
4G ina speed ya 100-300MB/s
5G itakua na speed ya 10-30GB/s
Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
Wanatupatia True 3G wakitudanganya ni 4GMkuu ufafanuzi pls
Hapa umeelezea vizur, hii mitandao huwaga inadanganya sana watu na kasi Ya internet wanazodai zipo kumbe hazipo.5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?
Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.
Theoretically:
3.5G ina speed ya 14.4MB/s
4G ina speed ya 100-300MB/s
5G itakua na speed ya 10-30GB/s
Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
Kuna forum fulani wazungu walikuwa wanalalamikia huduma ya internet kuwa slow kutoka 500MB/s kwenda 50MB/s ni kasema hivi Tanzania wangetupa tu 10MBPS si tungeringa5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?
Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.
Theoretically:
3.5G ina speed ya 14.4MB/s
4G ina speed ya 100-300MB/s
5G itakua na speed ya 10-30GB/s
Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
VODA wanakupa 300MB kwa shs 1,000 halafu unaitumia kwa sekundi moja ndio tafsiri ya 300MBPS5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?
Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.
Theoretically:
3.5G ina speed ya 14.4MB/s
4G ina speed ya 100-300MB/s
5G itakua na speed ya 10-30GB/s
Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
4g ya airtel ni sawa na 2g..5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?
Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.
Theoretically:
3.5G ina speed ya 14.4MB/s
4G ina speed ya 100-300MB/s
5G itakua na speed ya 10-30GB/s
Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
Ahhahahah YIGO hio mzeeYigo?