Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,497
- 21,588
Kuna group nimejiunga whatsaap ila cha ajabu msg haziingii kabisa wadau nn shida msaada tafadhali
Kwenye hilo group nime save namba za members watatu kwenye simu yangu, wao tu wakituma msg ndio naweza soma ila group lina members wengine 250 sion chartings zao na group liko active sana maana ni la professionals!!Labda hawakutumii, unehakikishaje kwamba meseji zinatumwa ila ni wewe tu hazikufikii?
Picha ya kitu gan bosi wanguTuma picha tuone.
Nenda kwenye settings, then Apps, then clear cache play store na ndugu zake wa ukoo huo wa google.Kwenye hilo group nime save namba za members watatu kwenye simu yangu, wao tu wakituma msg ndio naweza soma ila group lina members wengine 250 sion chartings zao na group liko active sana maana ni la professionals!!
Swali zuriunatumia wasap gan?
Si Wasap ya Meta? Au zipo nyingi?unatumia wasap gan?