Habari.
Hivi humu kuna wadada?? Wale wazuri wazuri wadogo wadogo. Below 30? Sidhani.
Kwa sababu namna nnavoiona hii jf haiendan na wadada warembo.. warembo wengi watakua insta na snaptchat huku na wale mangwini wasomaji tuu. Hakuna tik tok humu.
Ila naona nyuzi za watu wanasema mara humu mademu wengi jf ni km badoo, hitwe. Nahisi ni fix tuu. Mbona me ckutani nao? Na sioni wanapatkana wap. Na unajuaje km huyu mdada nmfate PM.
Hey warembo nifaten basi PM. Tuwekane karantini.
Sent using
Jamii Forums mobile app