Malisa Godlisten
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 201
- 1,534
Labda awafukuze hao wengine wote lakini gavana wa BOT hawezi kwa sababu ana SECURITY OF TENURE, mpaka amalize muhula wake, wengine wote ni disposable, you have a point there though!Rais ameivunja Bodi ya TRA kwa madai kuwa inapiga deal (kufanya ubadhirifu) kwa kuweka pesa za wananchi kwenye Fixed account. Sheria ya TRA ya mwaka 2006, kifungu cha 10 kinaeleza composition ya wajumbe wa Bodi ambao ni:
1. Mwenyekiti (anayeteuliwa na Rais)
2. Katibu mkuu wizara ya fedha (Muungano)
3. Katibu Mkuu wizara ya fedha (Zbar)
4. Gavana wa BOT
5. Kamishna wa TRA
6. Wajumbe wanne wa kuteuliwa na Waziri.
Sasa kwa akili ya kawaida Rais kuvunja Bodi bila kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji hapo juu hakuna alichofanya. Maana akiunda Bodi mpya wajumbe watarudi haohao isipokua Mwenyekiti na hao wanne wa kuteuliwa na Waziri. Yani Gavana atarudi huyohuyo, Kamishna atarudi huyohuyo, Makatibu wa wizara wote watarudi maana wanaingia kwa nafasi zao.
Ambao hawatarudi ni Mwenyekiti na wale wanne wakuteuliwa na Waziri tu. Katika mazingira haya ni rahisi watu kufikiria kwamba huenda Rais alikua na sababu tofauti na aliyoieleza.
Mtu anaweza kufikiria huenda issue sio "fixed a/c", huenda issue ni Mwenyejiti wa Bodi. Namna pekee ya Rais kuprove kwamba Bodi nzima ilikua "hovyo" ni kuwafukuza kazi wajumbe wa bodi wanaoingia kwa status zao. Amfukuze kazi Gavana wa BOT, Makatibu wakuu na Kamishna TRA. These people should vacate from the office as they have been orchestrated on the aforementioned allegations. Ni vizuri Rais akiunda Bodi mpya waingie watu wote wapya. Vinginevyo sioni sababu ya Rais kuivunja Bodi.
Malisa GJ
View attachment 439335
na yule katibu mkuu kwa upande wa zanzibarLabda awafukuze hao wengine wote lakini gavana wa BOT hawezi kwa sababu ana SECURITY OF TENURE, mpaka amalize muhula wake, wengine wote ni disposable, you have a point there though!
Kasome Cap 399 11(2). Pia kasome 12 (2)Rais ameivunja Bodi ya TRA kwa madai kuwa inapiga deal (kufanya ubadhirifu) kwa kuweka pesa za wananchi kwenye Fixed account. Sheria ya TRA ya mwaka 2006, kifungu cha 10 kinaeleza composition ya wajumbe wa Bodi ambao ni:
1. Mwenyekiti (anayeteuliwa na Rais)
2. Katibu mkuu wizara ya fedha (Muungano)
3. Katibu Mkuu wizara ya fedha (Zbar)
4. Gavana wa BOT
5. Kamishna wa TRA
6. Wajumbe wanne wa kuteuliwa na Waziri.
Sasa kwa akili ya kawaida Rais kuvunja Bodi bila kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji hapo juu hakuna alichofanya. Maana akiunda Bodi mpya wajumbe watarudi haohao isipokua Mwenyekiti na hao wanne wa kuteuliwa na Waziri. Yani Gavana atarudi huyohuyo, Kamishna atarudi huyohuyo, Makatibu wa wizara wote watarudi maana wanaingia kwa nafasi zao.
Ambao hawatarudi ni Mwenyekiti na wale wanne wakuteuliwa na Waziri tu. Katika mazingira haya ni rahisi watu kufikiria kwamba huenda Rais alikua na sababu tofauti na aliyoieleza.
Mtu anaweza kufikiria huenda issue sio "fixed a/c", huenda issue ni Mwenyejiti wa Bodi. Namna pekee ya Rais kuprove kwamba Bodi nzima ilikua "hovyo" ni kuwafukuza kazi wajumbe wa bodi wanaoingia kwa status zao. Amfukuze kazi Gavana wa BOT, Makatibu wakuu na Kamishna TRA. These people should vacate from the office as they have been orchestrated on the aforementioned allegations. Ni vizuri Rais akiunda Bodi mpya waingie watu wote wapya. Vinginevyo sioni sababu ya Rais kuivunja Bodi.
Malisa GJ
View attachment 439335
Mkuu ungefafanua kidogo ili tuelewe hoja yako na kuelemika pia.Kasome Cap 399(11) (2).
Non Ex officio member ndiye anaeweza kutimuliwa Kama mjumbe, wengine haiwahusu kwa sababu ujumbe wao upo kutokana na vyeo (automatically) unless bunge lirekebishe hiyo sheria.
sawasawa MR MAVJpm mambo mengine hatumi busara anatumia hasira na wakati hasira hasara some time. Sio kila kosa liwe linaadhabu Jpm. Hamna mkamilifu hata wewe unamapungufu yako,sawa kuna sheria ila hauwezi fata sheria kama vifungu vya sheria uvikumbuki. Kichwa kikubwa bila akili ni adhabu kwa miguu.
Okay, lakini hiyo s 11(2) naona haijatofautisha (au nasoma old version?).Non Ex officio member ndiye anaeweza kutimuliwa Kama mjumbe, wengine haiwahusu kwa sababu ujumbe wao upo kutokana na vyeo (automatically) unless binge lirekebishe hiyo sheria.
Soma section headings kabla ya kudondoka paragraph 2Okay, lakini hiyo s 11(2) naona haijatofautisha (au nasoma old version?).