Sioni Sababu ya Rais kuvunja Bodi ya TRA

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
201
1,534
Rais ameivunja Bodi ya TRA kwa madai kuwa inapiga deal (kufanya ubadhirifu) kwa kuweka pesa za wananchi kwenye Fixed account. Sheria ya TRA ya mwaka 2006, kifungu cha 10 kinaeleza composition ya wajumbe wa Bodi ambao ni:
1. Mwenyekiti (anayeteuliwa na Rais)
2. Katibu mkuu wizara ya fedha (Muungano)
3. Katibu Mkuu wizara ya fedha (Zbar)
4. Gavana wa BOT
5. Kamishna wa TRA
6. Wajumbe wanne wa kuteuliwa na Waziri.

Sasa kwa akili ya kawaida Rais kuvunja Bodi bila kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji hapo juu hakuna alichofanya. Maana akiunda Bodi mpya wajumbe watarudi haohao isipokua Mwenyekiti na hao wanne wa kuteuliwa na Waziri. Yani Gavana atarudi huyohuyo, Kamishna atarudi huyohuyo, Makatibu wa wizara wote watarudi maana wanaingia kwa nafasi zao.

Ambao hawatarudi ni Mwenyekiti na wale wanne wakuteuliwa na Waziri tu. Katika mazingira haya ni rahisi watu kufikiria kwamba huenda Rais alikua na sababu tofauti na aliyoieleza.

Mtu anaweza kufikiria huenda issue sio "fixed a/c", huenda issue ni Mwenyejiti wa Bodi. Namna pekee ya Rais kuprove kwamba Bodi nzima ilikua "hovyo" ni kuwafukuza kazi wajumbe wa bodi wanaoingia kwa status zao. Amfukuze kazi Gavana wa BOT, Makatibu wakuu na Kamishna TRA. These people should vacate from the office as they have been orchestrated on the aforementioned allegations. Ni vizuri Rais akiunda Bodi mpya waingie watu wote wapya. Vinginevyo sioni sababu ya Rais kuivunja Bodi.

Malisa GJ

1480066818764.jpg
 
View attachment 439335
Labda awafukuze hao wengine wote lakini gavana wa BOT hawezi kwa sababu ana SECURITY OF TENURE, mpaka amalize muhula wake, wengine wote ni disposable, you have a point there though!
 
Ni vizuri Mh Rais akatumia utaratibu aliouanzisha Mzee Mkapa wa kuwa na hotuba za kila mwisho wa mwezi. Huo utaratibu wa "kuchomekea" nadhani si muafaka kwani unaacha maswali mengi pasina majibu
 
Tuache kuspin vitu vilivyowazi. Chairman wa Board ndo anatoa mwelekeo WA institution. Yeye ndo alikuwa na wajibu WA kukataa au kukubali maamuzi. Ultimately the buck stops at the top. And let us face it. Magufuli countless times amepiga marufuku public institutions kuweka pesa za walipa kodi kwenye fixed accounts. Sasa kwa nini TRA ilikiuka haya maelekezo? with my little knowledge ya uchumi kuweka pesa kwenye FA in kwamba huna immediate needs za hiyo pesa. Can we say the same to these institutions? Hivi Leo CAG akipita ta kufanya auditing ya hizi pesa kwenye hizi fixed account.....are we prepared to know hizo interest zilikwenda wapi?

Magufuli do your job. Kuna Watu wanasikia kwa vitendo na si maneno. That's Tanzania.
 
Labda awafukuze hao wengine wote lakini gavana wa BOT hawezi kwa sababu ana SECURITY OF TENURE, mpaka amalize muhula wake, wengine wote ni disposable, you have a point there though!
na yule katibu mkuu kwa upande wa zanzibar
 
Hii bodi imeanza kufanya kazi kabla ya yeye kuingia madarakani. Hata hizo pesa zilizopo kwenye fixed deposit zimeidhinishwa kipindi Magufuli hayupo madarakani.
Kwahiyo mteule pekee ambaye atakayebaki ndani ya bodi ni Gavana maana huyu ametokea serikali iliyopita. Wateule wajao watakuwa wapya kwake yeye. Katibu wa Fedha na kamishna ni wapya. Siasa kando, tafadhali.
 
Wewe Unajuaje Labda Hayo Wajumbe Ndio Waliomtonya Kuhusu Hilo Deal ?
 
Rais ameivunja Bodi ya TRA kwa madai kuwa inapiga deal (kufanya ubadhirifu) kwa kuweka pesa za wananchi kwenye Fixed account. Sheria ya TRA ya mwaka 2006, kifungu cha 10 kinaeleza composition ya wajumbe wa Bodi ambao ni:
1. Mwenyekiti (anayeteuliwa na Rais)
2. Katibu mkuu wizara ya fedha (Muungano)
3. Katibu Mkuu wizara ya fedha (Zbar)
4. Gavana wa BOT
5. Kamishna wa TRA
6. Wajumbe wanne wa kuteuliwa na Waziri.

Sasa kwa akili ya kawaida Rais kuvunja Bodi bila kuwafukuza kazi baadhi ya watendaji hapo juu hakuna alichofanya. Maana akiunda Bodi mpya wajumbe watarudi haohao isipokua Mwenyekiti na hao wanne wa kuteuliwa na Waziri. Yani Gavana atarudi huyohuyo, Kamishna atarudi huyohuyo, Makatibu wa wizara wote watarudi maana wanaingia kwa nafasi zao.

Ambao hawatarudi ni Mwenyekiti na wale wanne wakuteuliwa na Waziri tu. Katika mazingira haya ni rahisi watu kufikiria kwamba huenda Rais alikua na sababu tofauti na aliyoieleza.

Mtu anaweza kufikiria huenda issue sio "fixed a/c", huenda issue ni Mwenyejiti wa Bodi. Namna pekee ya Rais kuprove kwamba Bodi nzima ilikua "hovyo" ni kuwafukuza kazi wajumbe wa bodi wanaoingia kwa status zao. Amfukuze kazi Gavana wa BOT, Makatibu wakuu na Kamishna TRA. These people should vacate from the office as they have been orchestrated on the aforementioned allegations. Ni vizuri Rais akiunda Bodi mpya waingie watu wote wapya. Vinginevyo sioni sababu ya Rais kuivunja Bodi.

Malisa GJ

View attachment 439335
Kasome Cap 399 11(2). Pia kasome 12 (2)
 
Jpm mambo mengine hatumi busara anatumia hasira na wakati hasira hasara some time. Sio kila kosa liwe linaadhabu Jpm. Hamna mkamilifu hata wewe unamapungufu yako,sawa kuna sheria ila hauwezi fata sheria kama vifungu vya sheria uvikumbuki. Kichwa kikubwa bila akili ni adhabu kwa miguu.
 
sawasawa MR MAV
 
Non Ex officio member ndiye anaeweza kutimuliwa Kama mjumbe, wengine haiwahusu kwa sababu ujumbe wao upo kutokana na vyeo (automatically) unless binge lirekebishe hiyo sheria.
Okay, lakini hiyo s 11(2) naona haijatofautisha (au nasoma old version?).
 
Malisa G..
U have said it well.

Huwezi kuongoza Nchi with this kind of double standard.. Never.

Hapa yeye lengo lake ilikuwa ni kumuondoa Chairman Mchomvu kwa sababu sio mteule wake.. Ni mteule wa JK.

Unaweza vipi kuiondoa board ya TRA na Commissioner wa TRA akabaki salama..?? Sasa amemwacha Kadata kwasababu ni mteule wake.

Ninachotaka kusema hapa ni...huwezi kupambana kwenye vita dhidi ya ufisadi kama hauna dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi.. Utakuwa unafanya show off tu.

Hii style yake ya kumgusa huyu na kumuacha huyu wala haiwezi kufika popote pale, sana sana itamletea vita kubwa zaidi huko mbeleni.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom