Sioni press ya Humphrey Polepole leo ikifanyika



Kwanza utambue bwana pole pole hayuko Tanzania

Labda useme internet yote leo izimwe
 
Yaani watz sasa hv tuko under siege, unataka hutaki ni mwendo wa mi5 tena hahahhhaa

Yaani ccm kwasasa ni kama mwanaume anayebaka mwanamke kikubwa ni akojoe hakuna mambo ya I love you!
Wapuuzi sana hawa CCM.
 
Labda arekodi clip atume kwa waandishi wa habari
Labda arekodi clip atume kwa waandishi wa habari

Watu mmekuwa wajinga Sana kufanya press na waandishi wa habari live na ukaulizwa maswali na kujibu inawezekana sio lazima iwe physically.

Dunia ya Leo hayo yamepitwa na wakati unaweza popote ukafanya press na waandishi wa habari live na maswali unaulizwa na unajibu .
 
Hafanyi press conf anafanya press release Machawa mhangaike nayo.
 
Kwani alisharudi TZ?
 
Tunazima internet
 
Polepole asiogope kivuli chake,atashinda.

Gwajima asiogope kivuli chake, atashinda.
 
Sasa dadake Polepole anahusika vipi kwenye haya?Wanatumia mbinu za kimafia kutumia familia yake kumtisha?Huu SI ni ugaidi asee?!!!πŸ€”
 
Saa 5 asb majira ya Africa mashariki
 
NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR

Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…