Sioni haja ya kwenda chuo

Kaka kaka wewe kama mimi tuuu...
Naona muda unakwenda alafu nachokipata ni tofauti ..

Una soma computer ila unatoka hapa kichwani hamna kitu wewe unajua defin tuu ila practical hamna kitu kabisa.

Hao wanaosema degree itakulipa inategemea na Degree ya nini..

Kuna. Sisi ambao tusha left huko vyuo mapema kabisa.. kazi ni kwenda ku sign hiyo 700k na kupita hvi.

Kiufupi tulienda kutafuta capital ya kufanya mambo mengine basi...
 
Umeongea kisomi kweli mkii
 
Hao wote kipindi chao, walikuwa na opportunity! Alaf soko lilikua huru. Sijui kuhusu s2kizy ila wengine wote walibebwa na upepo.
 
Facts, hata mm nishapita huko kitambo, sema jamii na wabongo ni wajinga sana wana support upuuzi sana. Elimu hasa kwa Africa ni kujua basics tu. Baada ya hapo unatakiwa ujitafta wewe kama wewe.

Elimu ilikua zamani sasa kuna decentralisation haiitaji kwenda chuo. Huko ninkupoteza muda na rasilimali.
 
Daaha ani ni kupoteza mda aiseeeee
 
Elimu wanaoitukana ni walio nayoo we jichangaje utajutaa
 
Kumbuka Elimu ni Ufunguo wa Maisha.
Pia Education is better than money.
 
mwisho cheki course isiyojulikana au kuwa watu wengi , nenda bandari , benki , industry uliza waliopo kule fanya research yako kisha chukua hatua , tahadhari usijaribu kufanya uhasibu or business courses .... all the best
Wakati nipo zangu UDBS niliambiwa hivohivo eti dogo course za biashara izo hatari.Nikasema potelea pote nikazuka zangu account saivi jaah ame bless,yale magari ambayo watu wa masters wanatuoshea pale mabibo hostel saivi hayanishtui😂ila kutoboa pia ni bahati🙌
 
Kwa kiasi fulani uko sahihi, pia na kwa kiasi fulani hauko sahihi.
Ila kupanga ni kuchagua, uamuzi ni wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…