Nina simu yenye android lakini ninachoshindwa ona ni sms nilizotunza kama draft sms nilipokuwa natumia SIM kwenye hanset tofauti na hii inayokwenda kwa android. Nikitoa SIM hizo na kuweka kwenye simu isiyokwenda kwa android drat sms naziona.
Naomba ufafanuzi na maarifa pia.
Naomba ufafanuzi na maarifa pia.