babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,325
SIONGEI TENA ENGLSH MIMI!! Amini
usiamini ENGLISH ni lugha ya
wanyama na ndege, kwani Paka
ukimcheleweshea MAZIWA utasikia
anasema NOW,NOW! Ng'ombe naye
asiposhiba utamsikia MORE,MORE!
Mbwa ukipita karibu na kwao kama
hakujui lazima atakuuliza
WHO,WHO! kifaranga akitotolewa
utamsikia akisema NEW,NEW,!
mbuzi nao ni masharobaro
utawasikia wakisema MEEN,MEEN!!!
Hii kweli.
usiamini ENGLISH ni lugha ya
wanyama na ndege, kwani Paka
ukimcheleweshea MAZIWA utasikia
anasema NOW,NOW! Ng'ombe naye
asiposhiba utamsikia MORE,MORE!
Mbwa ukipita karibu na kwao kama
hakujui lazima atakuuliza
WHO,WHO! kifaranga akitotolewa
utamsikia akisema NEW,NEW,!
mbuzi nao ni masharobaro
utawasikia wakisema MEEN,MEEN!!!
Hii kweli.