Je unaqualification za kuitwa??? umesoma kozi gani? sawa utumishi kuna mchezo mchafu lakini huwa wanajitahidi kuwa fair katika kuita watu ingawa wanakuwa wameshapanga watu wao wachache.Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.
USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.