Siogopi kufa: Filikunjombe!

Siogopi kufa: Filikunjombe!

kwa hali ilivyo sasa hakuna mtanzania atakaye endelea kuogopa ujinga wa kutishiwa kuuwawa..
Kwani tiyari watu wameshauwawa kimwili..
ushauri wangu kwa kunjombe endapo rais atalivunja bunge aseme anawapatia vijana uwaziri na wewe ukaingia kichwa kichwa watakumwakyembe nawe uote mabaka mabaka na uvae gloves kama rooney awapo uwanjani na pama kama la micheal jackson kataa kabisa naona move hiyo wazee ccm wanataka wawangamize vijana wao wanaowaona viherehere shauri zako ukiingiwa na tamaa

 
kifo kiko fair sana....ivi waliomuua soko4 wako wapi?
hata wakikuua nao watakufa....aliyekufa leo sio atakayekufa kesho.
 
Hicho chama unachokipenda si ndio hicho kinacholea ufisadi? sio ndio hicho kinachukia wapambanaji wa ufisadi kama wewe, mwakyembe sitta lembeli nk? ukiendelea kubaki huko huna uhuru wa kutosha na pia hao sio wema kama hata wanakutishia kukuua kwa nini uendelee kushiriki nao? umesahau yaliyompata Kolimba? Tafuta chama kingine uhamie maadamu unafahamika kwa uchapa kazi na kutetea maslahi ya umma uchaguzi ukirudiwa utashinda tu!!!!
 
dah angalau sasa itakuwa rahisi kuwaeleza raia kwa babu ni ludewa...aka kwa filikunjombe...maana kulikuwa hakujulikani
 
Sema tena sijasikia....huogopi kufanywa nini????????????

Ungekuwa jirani na Pinda angekuchapa kofi la kukosa uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility).

Mama hebu niambie maana ya hili neno maana sijui maaana yake kabisa
Na ukishamaliza niambie kama wizi wa mali ya umma ndio unaouita collective responsibility
 
Hicho chama unachokipenda si ndio hicho kinacholea ufisadi? sio ndio hicho kinachukia wapambanaji wa ufisadi kama wewe, mwakyembe sitta lembeli nk? ukiendelea kubaki huko huna uhuru wa kutosha na pia hao sio wema kama hata wanakutishia kukuua kwa nini uendelee kushiriki nao? umesahau yaliyompata Kolimba? Tafuta chama kingine uhamie maadamu unafahamika kwa uchapa kazi na kutetea maslahi ya umma uchaguzi ukirudiwa utashinda tu!!!!
OSOKONI
Good questions, na pia akiendelea kubaki humo, akauwawa, faida itakuwa ya nani?

Amini usiamini, anaweza asipate sympathy ya wananchi wengi, watasema "si tulimwambia?"

Hapo kwenye kura angepotezea kama ni kweli haugani na hatua ya wapinzani.

Anadai anawatumia wana Ludewa na watanzania wote, sasa si kachemsha na kuji contradict kwa kauli yake ya unazi wa kichama?
 
Last edited by a moderator:
Tunakuppongeza sana kamanda wetu kwa uamuzi wako wa busara kwani hakuna wa kumuogopa zaidi ya MUNGU baba yetu wa mbinguni kama ni kifo kila nafsi itaonja mauti tuko nyuma yako tunakuombea usikate tamaa watanzania wote tupo nyuma yenu.SEMA UKWELI DAIMA NA UTAKUWA HURU DAIMA
 
Kumbe kuna kitu hamjaelewa, huyo Katibu inawezekana nae ni mwizi, kwa hali ya kawaida huwezi mtu mwenye maadili umlinde mwizi, nae ni mwizi tuu, hana integrity!
 
Heri kufa kwa haki ukitetea wanyonge kuliko kutetea tumbo la kikwete na watu wachache ambao ni mafisadi . Bila shaka malaika watakuja kukupokea duniani mara baada ya kifo ili ukaurithi ufalme wa wenye haki
songa mbele filikunjombe ukitetea haki son
tunakuppongeza sana kamanda wetu kwa uamuzi wako wa busara kwani hakuna wa kumuogopa zaidi ya mungu baba yetu wa mbinguni kama ni kifo kila nafsi itaonja mauti tuko nyuma yako tunakuombea usikate tamaa watanzania wote tupo nyuma yenu.sema ukweli daima na utakuwa huru daima
 
Ni vizurikuwa na msimamo ukiwa ndani ya ccm,wati huo huo anatakiwa kuchukua tahadhari wasimfanyie umafia

Wakati mwingine ni vizuri kuhama ccm ukishatangaza tofauti nao hadharani, hakuna kuwa na mwafaka na mazungumzo nyuma ya pazia,vinginevyo wanaweza kukukolimba krahisi,hasa pale kinachopigankiwa kinagusa maslahi yao moja kwa moja
 
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe, ameapa kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya kutetea Watanzania wanyonge na kwamba haogopi vitisho uchwara vinavyotolewa na baadhi ya watu.

Alisema kamwe hawezi kukaa kimya akitazama namna Watanzania wanavyoporwa haki zao na viongozi wachache wenye uroho wa madaraka.

“Hatuwezi kufumbia macho wizi huu unaoliangamiza taifa kwa hofu kuwa ni chama changu. Ubunge wangu ni kwa manufaa ya Wana Ludewa na Watanzania wote, hivyo, wanaonishambulia wao ndio maadui wa CCM na Watanzania,” alisema mbunge huyo.

Alipuuza madai kuwa hatua yake ya kuungana na wapinzani katika suala la kutia saini kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ni hatua za kukihama chama chake.

Mnafiki tu huyu nae anajitafutia umaarufu!!! gamba, gamba tu......
Kwa lipi atishiwe kufa?
Na kina Slaa wasemeje?
 
Mukama anamtishia nyau Filikunjombe
 
Hata DAUDI BALALI alisema haogopi kufa lakini amekufa, vivyo hivyo HORICE KOLIMBA

Mama Porojo kila mwenye pumzi ni marehemu mtarajiwa hivyo kifo kisikuogopeshe...ishu ni kwamba utakufaje?
 
Hata DAUDI BALALI alisema haogopi kufa lakini amekufa, vivyo hivyo HORICE KOLIMBA

Kwani Nyerere alisema anaogopa kufa ndiyo maana alikufa? Acha argument za kitoto, kwani ukisema huogopi kufa ndiyo unakufa na usiposema haufi.......I doubt about you being a great thinker.... unaweza kuwa GAMBA....
 
Sema tena sijasikia....huogopi kufanywa nini???????????? Ungekuwa jirani na Pinda angekuchapa kofi la kukosa uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility).

Collective responsibility kwani yeye yupo serikalini kwa Pinda? Think twice
 
Hao mawaziri kama watafukuzwa kazi,watafukuzwa na Ikulu. Sasa . Filikunjombe atauawa na nani? Mbona tunaongea maneno bila mpangilio?
 
Back
Top Bottom