Sio vizuri kufurahia kifo cha mtu

Sio vizuri kufurahia kifo cha mtu

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,432
Reaction score
7,965
.
FB_IMG_1613401611776.jpg
 
Kwa muktadhwa wa picha sio vizuri.

Lakini kuna watu wakifa nje ya picha hiyo utafurahia tu mkuu.

Kafa mtu jambazi jibakaji lilikuwa linawapa watu hofu,jitu linalawiti watoto wa watu kwa kutumia uchawi alafu akifa kwa nini usifurahi.

Unafurahi akifa mtu kama huyu sio kwa sababu kifo ndo adhabu yake kwamba kifo kimemkomoa laa hashaa bali tunafurahi kwa sababu tutapumzika na majanga yake.

Kila mmoja atakufa tu.
 
Tuliimba/Tuliimbishwa;
Idd Amin akifa Mimi siwezi kulia nitamtupa Kagera awe chakula cha Mamba.
Yaani huyu "Amin" afe watu wasifurahi?
 
Kufurahia kifo dhambi.
Ila hii dhambi sijui Kama itanikwepa😎
 
Kufurahia kifo dhambi.
Ila hii dhambi sijui Kama itanikwepa😎
Kifo nacho ni sherehe iliyo pooza tu. Ukiweza unafurahi sio dhambi na haina ubaya. Inaumaga watu hawajui ndugu yao yupo kwa moto au kwa mbingu kwa wale wenye imani lakini. Na ndio maana kwa wasio na imani kwenye vifo huwa ni bata tu, hukuti vilio vya paka
 
Wanaumwa walimu wote lakini sio wa maths aisee awapatagi ata tharura na ndo wanapenda kuingilia adi vipindi vya wenzao
 
Back
Top Bottom