Sio utu kudhulumu wastaafu

Papillon 1906

Senior Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
189
Reaction score
654
God forbid.

Imagine mtu kafanya kazi miaka kibao kwa jasho na damu na kuwa na malengo kadha wa kadha ya kuboresha maisha yake zaidi mara baada ya kustaafu.

Kwa kujenga nyumba ya ndoto yake au kufungua biashara au vyovyote vile si pesa yake bwana, wewe unatumia ulaghai na project za kimchongo kumtapeli bwana au bibie huyu.

Sijui mnafanya vipi kuwashawishi kwa hoja potofu na kuwatii lakini jua kwamba huyu mtu anakundi kubwa la watu wanao mtegemea. Sio kwasababu hana maalifa ya biashara ndio uchukue faida hiyo kudhurumu sio uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…