Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

Sio Tanga tu, hata Mbeya wanajua mapenzi

The navi 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
352
Reaction score
46
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi.

Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mapenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina ushuhuda wa vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali sasa wanakimbilia Mbeya kuwaoa mabinti wa Mbeya.

Ushauri wangu ukiona una hangaika wapi utapata mpenzi hodari na atakaye kufurahisha karibu sana mbeya.

Mapenzi zaidi ya Tanga
 
Kwi kwi kwi, ndaga pijoti. Washaachaga kusema hayo?
 
Tanga wanadai ni wataalam
sasa nimegundua mko mwingine bandugu
MBEYA
 
wewe watoto wa tanga hatari ukimaliza mippumbu yako inawekwa kwenye kisosi na maji ya vuguvugu ukitota hapo kitu unaendelea naona wewe hujui wewe aii
 
Siku hizi hakuna mtu wa wapi wala wapi...Hakuna makabila yenye utaalamu wa mapenzi...Ilikuwa zamani hiyo..
Kila kabila sasa lishavumbuka na kujifunza kuhusu mapenzi.....Technolojia zimesaidia



Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi. Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mpaenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina ushuuda wa vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali sasa wanakimbilia mbeya kuwaoa mabinti wa Mbeya.

Ushauri wangu ukiona una hangaika wapi utapata mpenzi hodari na atakaye kufurahisha karibu sana mbeya: mapenzi zaidi ya tanga
 
Back
Top Bottom