Sio siri ninaumia

Hahaha hahaha hahaha,nimekuelewa mkuu.
Mi nimeupenda mwandiko wako.... nani alikufundisha kuumba herufi?........ Tatizo unacharaza sana na kalamu yako haina wino wa kutosha.......

Kama kuna maswali, karibu shambani kwangu Boko nikulishe matango na matikiti maji kw wingi wakati nikijibu maswali yako.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Mi nimeupenda mwandiko wako.... nani alikufundisha kuumba herufi?........ Tatizo unacharaza sana na kalamu yako haina wino wa kutosha.......

Kama kuna maswali, karibu shambani kwangu Boko nikulishe matango na matikiti maji kw wingi wakati nikijibu maswali yako.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.

aahh....hakuna matunda mengine......mi hayo yananidhuru bana.....
 
soma alama za nyakati! that is not love.mhebu jikaze kwa muda wa kama mwezi mmoja bila kumjulia hali wala sms wala nini, akikaa kimya chukua time yako!
 
Mos ahinya nyakwar atony. Nyasaye biro guedhi Jaber iyud wuoyi moeri.

Erokamano nyathi, asesomo buku nindiko ka a( YOTE YANAYOTOKEA DUNIANI YALITABIRIWA TOKA MWAKA 1884: SOMA KITABU KIITWACHO: PAMBANO KUU (THE GREAT CONTROVERSY) UKWELI WOTE UTAUPATA.) Wach mar Lindi??
 
ongea nae, tell him what you expect from him. tupo vijana tuliolelewa kigumu na haya mambo ya caring tunajifunza ukubwani so bila kuelekezwa ni ngumu kufahamu
Ahsante sana kwa ushauri wako, ndio niliopanga kichwani mwangu... KUVUNJA UKIMYA!
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu mzuri wanajamvi...... "Zako changanya na za mwenzako" Kutokana na ushauri wenu nimeamua KUVUNJA UKIMYA nitatafuta muda nikae naye, nimueleze kwa marefu na mapana kuhusu jambo hili ili pia nisikie maelezo yake kwani nilikuwa sina confidence ya kuzungumza kwa kina juu ya hili. Ila mmenipa confidence ya ajabu nitazungumza naye then nitawapa feeback....
 
Ukipenda boga penda na ua lake mama.., inawezekana ni sababu za kimaumbile. Njia nzuri ya kum'badilisha ni kujaribu kuwa karibu nae zaidi ya jinsi mlivyo sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom