Sio siri matangazo ya biashara TBC 1 yanakera sasa!!

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Kweli vya bure ni shida,yaani hata matukio muhimu tunayakosa kisa mimtangazo yao.
Mnaboa tbc
 
Watuachie japo leo finali WC tu enjoy aisee.
 
Inabidi uvumilie tu maana pale kuna ya Fifa na T
bc. Lakini ukweli ni kuwa hayo matangazo ndio yamesaidia wewe uweze kuona michuano hiyo bure kupitia TBC maana ungelazimika kulipia DSTV. Haki ya kurusha world cup ni ghali sana
 
Kwa kweli. Nimevumilia hadi WC imeisha.
 
Inabidi uvumilie tu maana pale kuna ya Fifa na T
bc. Lakini ukweli ni kuwa hayo matangazo ndio yamesaidia wewe uweze kuona michuano hiyo bure kupitia TBC maana ungelazimika kulipia DSTV. Haki ya kurusha world cup ni ghali sana

ungeangalia movetv ndio ungekuwa mgonjwa wa denguo
 
Back
Top Bottom