super black JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 566 Reaction score 540 Aug 23, 2017 #1 *sio sifa ya mke* Mke asifiwi bikra Wala asifiwa sura Makalio au chura Ni ya kuvalia dera Mengne ni dharura Mwanamke ni tabia *sio sifa ya mke* Kupewa kila kitu Lazima awe na utu Sio kukaa km butu Asiwe akili fyatu kukunusa mpk viatu Wala hatulii katu Punguza mazoea *sio sifa ya mke* Domo kutoka matusi Tamaa kama fisi Kuwaza kukufilisi Shtuka hyo n nuksi Atadunda km kitenesi Jifunze kuvumilia *sio sifa ya mke* Kukwepa majukum Mwili wk kutouheshm Kujidai mtaalam Kusifiw wendawazim Hk ana akili timam Mumeo atachukia *sio sifa ya mke* Kumpekua mumewe Kuishi kama mwewe Kila kitu uletewe Jifunze kujitegemea *sio sifa ya mke* Kutoa siri za ndani Leo mmekula nini Mnalalaje kitandani Kusema km ana deni Kugombn na majirani Mambo utaychafua *sio sifa ya mke* Kunuka jasho Kali Mme kumwek mbali Kila mtu kumkubali Kujidai sio halali Sio kama nakejeli Huo ndo ukweli Km ni mke tambua *sio sifa ya mke* Kusifiwa kiburi Kujaa ushari Muda wte safari Kutokutafakari Tabia kutokua nzuri Nyumban utazeekea *sio sifa ya mke* Kudumish michepuko Kuishi kama popo Kuvunja hata kiapo Kutembea na jopo Wala asiwe roporopo mume atajichokea *sio sifa ya mke* Poleni nilowagusa Nafsi zenu kuzitesa Mwanaume si pesa Ukitaka utazikosa Ukimpata ni fursa Basi atakutumia *jifunze kuishi km mwanamke na sio kuishi km demu* *jitunze* *jiheshim* *jipende* *jithamini* *jistiri* .....✍ Sent using Jamii Forums mobile app
*sio sifa ya mke* Mke asifiwi bikra Wala asifiwa sura Makalio au chura Ni ya kuvalia dera Mengne ni dharura Mwanamke ni tabia *sio sifa ya mke* Kupewa kila kitu Lazima awe na utu Sio kukaa km butu Asiwe akili fyatu kukunusa mpk viatu Wala hatulii katu Punguza mazoea *sio sifa ya mke* Domo kutoka matusi Tamaa kama fisi Kuwaza kukufilisi Shtuka hyo n nuksi Atadunda km kitenesi Jifunze kuvumilia *sio sifa ya mke* Kukwepa majukum Mwili wk kutouheshm Kujidai mtaalam Kusifiw wendawazim Hk ana akili timam Mumeo atachukia *sio sifa ya mke* Kumpekua mumewe Kuishi kama mwewe Kila kitu uletewe Jifunze kujitegemea *sio sifa ya mke* Kutoa siri za ndani Leo mmekula nini Mnalalaje kitandani Kusema km ana deni Kugombn na majirani Mambo utaychafua *sio sifa ya mke* Kunuka jasho Kali Mme kumwek mbali Kila mtu kumkubali Kujidai sio halali Sio kama nakejeli Huo ndo ukweli Km ni mke tambua *sio sifa ya mke* Kusifiwa kiburi Kujaa ushari Muda wte safari Kutokutafakari Tabia kutokua nzuri Nyumban utazeekea *sio sifa ya mke* Kudumish michepuko Kuishi kama popo Kuvunja hata kiapo Kutembea na jopo Wala asiwe roporopo mume atajichokea *sio sifa ya mke* Poleni nilowagusa Nafsi zenu kuzitesa Mwanaume si pesa Ukitaka utazikosa Ukimpata ni fursa Basi atakutumia *jifunze kuishi km mwanamke na sio kuishi km demu* *jitunze* *jiheshim* *jipende* *jithamini* *jistiri* .....✍ Sent using Jamii Forums mobile app
Sirini JF-Expert Member Joined May 25, 2016 Posts 743 Reaction score 1,053 Aug 23, 2017 #2 Sio sifa ya mume kuhudumia mke wa mtu wakati wake anapauka...
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,725 Reaction score 2,411 Aug 23, 2017 #3 Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,802 Aug 23, 2017 #4 Sio sifa ya mwanaume kuwa bahili na wengi kuja kulialia jf.
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,617 Reaction score 24,272 Aug 23, 2017 #5 Sio sifa mwanaume kua marioo Sent using Jamii Forums mobile app