kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,851
- 5,620
Ukweli ni kwamba kwa yeyote alipwaye mshahara kuanzia Rais hadi mfanyakazi wa kawaida hawezi kuhisi kwa haraka uwepo wa njaa. Ni mpaka hata kile cha kununua kiadimike.
Kundi la kwanza ku feel uwepo wa njaa ni tabaka la wakulima kule mashambani na hasa vijijini, wale wanaolima at a small scale kwa jembe la. Mkono. Na hawa ndo asilimia kubwa ya watanzania. Hawa hutegemea mazao shambani kupata chakula na huuza kiasi kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi mengine kama ada, mavazi, matibabu nk.
Mvua zikigoma hili ndo Kundi la kwanza kuathirika. Wakati huo chakula hua mikononi mwa middle men, huko masokoni. Ni mpaka hicho chakula kiishe ndipo wapatao mshahara wanaweza hisi uwepo wa njaa.
Rais anasema hakuna njaa kwa vile yuko level ambayo hajafikiwa bado napengine hawezi kufikiwa.