NGOSWE.120 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 219 Reaction score 234 Jul 9, 2011 #1 Unaweza kutambua kuwa huyu nini nani? na amewahi kuandikwa na vyombo vya habari juu ya tukio gani? Karibu!
Unaweza kutambua kuwa huyu nini nani? na amewahi kuandikwa na vyombo vya habari juu ya tukio gani? Karibu!
J Jaydean Member Joined Jul 5, 2011 Posts 16 Reaction score 1 Jul 9, 2011 #2 Ni mke wa marehemu Samweli Wanjiru aliyekuwa mwanariadha wa Kenya
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jul 9, 2011 #3 Kwani ameachwa na mimba.....hiyo picha ya katikati hiyo.....
M Maengo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 280 Reaction score 29 Jul 10, 2011 #4 Sasa amekuwaje? Kaingia choo cha kiume au...?
S Sharo hiphop JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 660 Reaction score 104 Jul 11, 2011 #5 mhhh! Kwa hiyo anawaza hivyo akitamani mzee arudi au?